Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

Losers n losers tu..kila siku mtaishia kulalamika paspo kuja na solutions....hv tume huru unataka iweje? Uchukuliwe ww ndo uunde tume au? Ukwel n kwmaba wananch haawawaelew wapinzan full stop..achen kupindisha maneno.
 
Natamani ufanyike uchaguzi wa kura za wazi au mnaitwa uwanjani wanaoitaka ccm wapange mstari huu na wanaotaka upinzani matari huu. Ha haaaaaaa.
 
Kulalamika kupo kwa aina mbili. Makosa ya kiutendaji na kulazimisha ushindi kwa watawala.
Huku kwetu ni watawala kulazimisha ushindi kwao kwa kupindua matokeo au kutoweka mazingira sawa ya ushindani. Kwa vile inaonekana hapa kwetu wimbo wa Tume huru umeshindikana na hakuna njia ya kuwalazimisha basi tuombe msaada kutoka kwa wenye ubavu wa kulazimisha.
Yaani ndg yangu Chakaza haya matokea ya udiwani ndio yanakutoa roho? Kwa kweli kwa hali ilivyosasa ningeshangaa kuona chama cha upinzani kinashida huu uchaguzi wa madiwani achilia mbali dimani.
Naomba kuuliza hivi tume ya uchaguzi ya Gambia ipo huru au hapana? Au tume ya uchaguzi ya Ghana ?
 
Nawaza tu kama huu ushauri mbowe ana ungana nao...

Mbowe ni chuma ulete wa ruzuku tu haya mengine ayamuhusu...
 
Mseveni pamoja na kutawala miaka 30 na kumpa kichapo kila Siku Besige lakini hawajasita kumpa .........

Rwanda kagame yeye anawafata wapinzani wake mpaka nje ya nchi na anaua lakini bado wanampa pesa wazungu..........

Sometime Mnachekesha kweli watanzania.........

Kama akili zenyewe ndio hizi bora hata msipewe nchi kabisa.......

Mzungu uwa anatoa msaada kwa malengo Fulani sio kwa kupangiwa na naona ccm wanatimiza malengo yao ndio maana hata uchaguzi Wa Zanzibar ni kimya..........

Wapinzani jipangeni muijue system nzima ya nchi sio kulia lia nje ya mfumo mnaweza kulia vizazi na vizazi............
 
Tena upinzani usipoyazingatia haya wasahau milele hata kuwa na mbunge 1.
Pambaneni mpate mfumo mpya wa muundo wa tume.
Halafu huku watakuwa wanajidai wananchi b ado wana imani nasi kumbe ni wamejitangaza.
Si mmeyasikia yalitokea Arusha kata ya Ngarenanyuki Mkurugenzi kupokonya daftari ya kudumu? Na Zanzibar maiti kupiga kura!
Amueni na hamasisheni kila kona.
 
NINGESHANGAA MKOSE LA KUSOME,DUUU NYIE KWELI NI NYUMBU, HIVI MBOWE,LISSU,BULAYA,MDEE NA WENGINEO WALISHINDA KUPITIA TUME IPI?SEMEN UKWELI WAJAMENI WE DONT NEED AT ALL.
NINYI NI WAONGO,VIGEU GEU,MATAPELI SASA NANI AWACHAGUE
COME ON
 
Mbowe mimi namlaumu kwa kutofanya kazi kuendana na mazingira. Njia ya amani ni kuomba international agencies kuingilia kati uminywaji wa democrasia tanzania
Ni kweli, maana njia sahihi ya wananchi kuidai jambo serikali yao ni maandamano ya amani lakini ushahidi upo na dunia nzima iliona wakati wa Ukuta. Kuwa majeshi na zana zao walijiandaa kuua wananchi wake. Jee mpaka wauwawe wakati wao wafadhili wanaweza kuilazimisha kujenga demokrasia kwa njia ambayo itaepusha vifo?
Mbowe, Maalim, Mbatia, Lissu, Zitto wa team up na hata ikiwezekana wawaone kwanza mabalozi kisha wafanye safari kwenda nje na kule Watanzania waliopo huko waandae hata kusanyiko litakalo vuta hisia za hao wanaotoa misaada kwa serikali isiyojali demokrasia.
Kwangu mie nadhani hiyo ni karata turufu ya mwisho. Zaidi ya hapo tuwaache wenyewe wachaguane na kuweka viongozi watakao nasi tu shut up
 
Nasikia CHADEMA walikatazwa kufanya siasa wakati wenzao CCM wanashindia siasa kutwa nzima
 
Watani zangu CHADEMA/UKAWA poleni sana kwa kipigo tulichowapa kwenye uchaguzi wa Marudio sehemu mbalimbali Tanzania. Jueni haya na myafanyie kazi:

1.Tume ya Taifa ya Uchaguzi ina matatizo makubwa kimuundo na kiutendaji

2.Tume ya Taifa ya Uchaguzi si huru

3.Tume ya Taifa ya Uchaguzi 'kuunganishwa', wakati wa uchaguzi, na Serikali (Wakurugenzi) ni jambo kubwa na la kuwaminya wapinzani.

4.Wananchi 'hawaichagui CCM'; wanatangaziwa mshindi kuwa ni CCM

5.Mnazungumza mambo mengi na ya msingi,mnapaswa kubadili cha kukisemea

6.Ukikosa kuku mzima, pata hata kidali tu (pambanieni Tume huru ya Uchaguzi) kimuundo na kiutendaji

7.Msiumie sana kwakuwa kila mmoja ametetea Jimbo, Kata, mtaa au kijiji chake. Si sisi CCM wala nyinyi UKAWA mlionyang'anya toka kwa mwingine.

8.Kwa mfumo wa uchaguzi ulivyo hapa Tanzania, haitatokea wapinzani 'kutufunika' CCM

Mwafaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
kwani tume ya uchaguzi iliyowatangaza wapinzani kua washindi wa ubunge na udiwani sehemu mbalimbali niipi nahyo unayosema sio huru niipi au ili iwe huru ungetaka iwatangaze tu wapinzani hata kama hawajashinda
 
Yaani ndg yangu Chakaza haya matokea ya udiwani ndio yanakutoa roho? Kwa kweli kwa hali ilivyosasa ningeshangaa kuona chama cha upinzani kinashida huu uchaguzi wa madiwani achilia mbali dimani.
Naomba kuuliza hivi tume ya uchaguzi ya Gambia ipo huru au hapana? Au tume ya uchaguzi ya Ghana ?
Tafuta katiba ya Gambia na ya Ghana uone Tume zao za uchaguzi zinaundwaje. Hapa kwetu msimamizi wa uchaguzi yaani DED unakuta ni yule ambaye kuteuliwa kwake nafasi hiyo ni baada ya kushindwa Ubunge kwa tiketi ya ccm na wakati anatimiza majukumu yake waweza kukuta kavaa shati na kijani na kofia imeandikwa Chagua ccm
 
,SASA WAKIKATA MISAADA WANAMKOMOA NANI?TUMIA AKILI KUFIKIRI,HALAFU HAO WAZUNGU NDIO MUNGU WETU?AYAAAAAA WEEE VIP UMEBENDWA NINI?
 
Acha uoga mkuu nyumba ya kwako unatafuta jirani aje akuulie nyoka
Baba uliyaona yale mazoezi ya Polisi kule Dodoma na ya Sirro Dar eti wanasubiri waandamanaji? Nani atakubali mwanae aende akaandamane kwa amani kudai tume huru ya Uchaguzi? Hapo hakuna jinsi ni kumwambia Trump zuia MCC hadi tume iundwe baba. Bora nusu shari kuliko shari kamili
 
,SASA WAKIKATA MISAADA WANAMKOMOA NANI?TUMIA AKILI KUFIKIRI,HALAFU HAO WAZUNGU NDIO MUNGU WETU?AYAAAAAA WEEE VIP UMEBENDWA NINI?
Hiyo shida itakuwa ya muda tuu lakini matokeo ni ya kudumu.
Kwani wewe uko tayari kuwa feeded mdomoni huku unawekewa kidole kunako nanihii? Acha kuwa na mawazo mgando.
 
Mzee tupatupa umeongea ukweli mtupu...binafsi nimefurahi upinzani kupokea kichapo kwenye huu uchaguzi ili wajifunze vizuri kuwa adui yao sio CCM, adui yao ni tume isiyo huru kama hii ya sasa....wapiganie tume isiyo na wakurugenzi kama returning officers na mwenyekiti ambaye anachaguliwa na rais
Ndugu nenda taratibu. Jamaa wa Ukawa hawakawii. Unaposema adui yao ni Tume Huru ya Uchaguzi, kesho utakuta tayari wana t-shirts za "OPARESHENI CHANA KADI ZA KUPIGIA KURA"!
 
Hongera kwa

Nafikiria tunachohitaji ni Tume Huru,Mahakama Huru,Tume ya Vyama vya siasa huru,Polisi huru na Bunge huru,tukiweza kuvipata hivi Tanzaaia itakuwa huru
Ikikaa itokee hili na mimi natangaza nia
 
Back
Top Bottom