Katiba Mpya na maendeleo yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba Mpya na maendeleo yetu

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Kaa la Moto, Dec 7, 2011.

 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nikisikia kwenye redio na Tv na kusoma magazeti na mitandao jamii ambako baadhi ya watu wamekuwa wakisema kuwa katiba mpya haitatuletea mabadiliko katika maendeleo yetu na kwamba watu wasidanganyike.
  Tangu wakati huo nimekaa chini na kutafakari sana kauli hizi maana zingine zimetolewa na watu wasomi wanaoaminika sana na zingine zimetolewa na wanasiasa.
  Sasa je kama kweli katiba haitaleta mabadiliko yoyote katika maendeleo yetu tunasumbukia nini kuibadilisha hii iliyopo iliyodumaza maendeleo yetu kwa kuweka loopholes za viongozi kufanya watakavyo au viongozi wetu kuwa mamlaka ya mwisho ya maendeleo yetu? si bora kubaki na hii hii iliyopo tuendelee kupata maumivu kwenda mbele?
   
Loading...