Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
Well said,kwanza kabisa ni mshukuru mungu baba kwa kutupa uzima na tumuombe aendelee kuilinda CHADEMA,
PILI: Hii katiba inayo tajo kuwa inaundwa upya na Rais anaenda kuteua jopo la wataalamu juu ya uundwaji wa katiba, mimi na sema ni uzushi, uwizi wa kifkra, uhaini na niufedhuli mkubwa katika taifa letu,
TATU:Huwezi kukifanyia kitu marekebisho au kukiunda upya wakati huji thamani yake, serikali ya ccm haiju thamani ya katiba mpya, wakati muda wote wapo madarakani hawajawahi kuongelea juu ya uundwaji wa katiba mpya, waliyopo nje ya uongozi ndiyo wanao zungumzia katiba mpya, na wamekuwa wakibezwa mara kwa mara,
hii inaashiria nijinsi gani serikali ya ccm isvyokuwa na muelekeo, imekuwa ni serikali ya bendera fuata upepo, wameshindwa kuwa wabunifu kwa wakati muafaka wanakurupuka wakati wananchi wamechoka, ukiwauliza watakuambia ni sehemu ya sera zao kama ilivyo kuwa UDOM,
Sasa wanakuja na majopo yao mbayo yanaletwa na watu wale wale wasiyo kuwa na fikra zozote zile juu ya miaka kumi ijayo tutakuwa wapi na kwanini tuwe pale tusiwe hapa, ni serikali ya chama ambao wanaangalia sehemu waliyopo hawaangalie kuwa kunasehemu wanapaswa kusogea hata kwakufosi ilimradi imnufaishe mtanzania.
kwa mfano uchaguzi uliyopita ningekuwa mimi ni jk, ninge achia ngazi slaa aongoze, kwakuwa alichokuwa anakiongea slaa ndicho hiki sasa kinatokea na alichokuwa anaongea jk nadhani kimekwisha kupotea baada ya uchaguzi kumalizika na maanisha katiba mpya.
Slaa na CHADEMA ndiyo wanajua watanzania wanataka nini, na si ccm waliyo kuwa wanawabeza watanzania, hili suala nilakuchukulia siriasi si suala la kuiachia serikali ya ccm kwasababu wao ndiyo wapo madarakani, upuuzi huwo haupo, tanzania ni yetu sote lazima tuipigania pale tunapoona kunaelekea kuwa pumba, tanzania ya sasa sitanzania ya miaka ile jamani,
KATIBA MPYA ITAWEZEKANI CHINI YA UONGOZI WA SERIKALI YA CHADEMA NA SI CHINI YA UTAWALA WA CCM, SLAA YOUR PRESIDENT OF TANZANIA NOT JK
Watanzania sio wajingaWell said,
CCM haiko kwa ajili ya watanzania, na wala hawawezi kuandika katiba mpya. Watanzania ni wajinga sana CCM ilishasema na inazidi kusema kwamba haita andika katiba mpya. Watu wameirudisha CCM madarakani harafu bado wanaiomba iandike Katiba mpya. Chama kilichokuwa kinasema wazi kabisa kuwa ndani ya siku mia moja mchakato wa kuandika katiba mpya utaanza hamkukipa kura!! Sasa malalamiko ya nini kuhusu katiba mpya wakati wale wasiotaka katiba mpya mmewarudisha madarakani?? UJINGA NDO UNAOTUMALIZA SI WATAWALA
Thank you for your comments.Watanzania sio wajinga
wala hawajairudisha CCM madarakani
Wapo madarakani kwa wizi na udanganyifu tu
Watanzania sio wajinga

kwanza kabisa ni mshukuru mungu baba kwa kutupa uzima na tumuombe aendelee kuilinda CHADEMA,