Katiba imekaa vizuri sana

Raisi kapewa mamlaka makubwa yakuteua mpaka kuku sasa ndo kukaa vzur uko? Tume huru ya uchaguzi haiwez kuteuliwa na raisi isome tena vzur
Tatizo we mjinga unawaza madaraka tu kwa mfano Rais asipoteua kabisa nafasi zote zikapatikana kwa njia zingine sisi wananchi wa kawaida inatusaidia nini,hapa jamno la msingi tunaangalia kama mambo yanayolenga wananchi wa kawaida moja kwa moja yamo au hayamo ndiyo jambo la msingi kiukweli katiba ipo vizuri sana.
 
... Mkuu, Huyo Jamaa Atakuwa Kada Wa Ccm, Anajaribu Aone Kama Takataka Yao Inakubarika Au La
Halafu wewe mnyarwanda mambo ya tanzania wewe yanakuhusu nini kama siyo kuchafua nchi yetu bure hebu fuata yenu.
 
Ulinzi na usalama
 
Mambo ya Muungano haya hapa

.... Yaani Unasukuma Maji Yaingie Kwenye Jiwe, Yaan Zanzbar Ijitegemee Mambo Yasiyo Ya Muungano? Tanganyika Ndo Iwe Serikali Ya Muungano? Hahahahaaa.! Hivi Vituko Kweli.!!
 
Yaani wewe kiazi tu, kama mama ni mtanganyika nenda znz leo upeleke maombi ya kununua ardhi uone kama utamilikishwa.
 
Halafu wewe mnyarwanda mambo ya tanzania wewe yanakuhusu nini kama siyo kuchafua nchi yetu bure hebu fuata yenu.

.... Hata Wanyarwanda Ni Wenzetu Tu, Mbona Wewe Ni Mkongoman Hatusemi.! Hii Ni Nchi Yetu Wote
 
.... Yaani Unasukuma Maji Yaingie Kwenye Jiwe, Yaan Zanzbar Ijitegemee Mambo Yasiyo Ya Muungano? Tanganyika Ndo Iwe Serikali Ya Muungano? Hahahahaaa.! Hivi Vituko Kweli.!!
wewe ni mnyarwanda mambo ya TZ hayakuhusu na ni vigumu wewe kuyaelewa. Wewe endelea tu na kanchi kako hako. Tunawaheshimu na hata kwenye katiba inasema kuheshimu uhuru wa nchi zingine. Ya kwenu hayatuhusu.
 
... Mkuu, Huyo Jamaa Atakuwa Kada Wa Ccm, Anajaribu Aone Kama Takataka Yao Inakubarika Au La
Halafu nafikiri huyo jamaa ni mgumba maana angekuwa na watoto angefikiria maisha yao baada ya yeye kwenda kaburini,
 
Yaani wewe kiazi tu, kama mama ni mtanganyika nenda znz leo upeleke maombi ya kununua ardhi uone kama utamilikishwa.
Sasa wewe tatizo lako ni nini? maana umetoka nje ya pointi kabisa. Umeenda nje ya key.
 
Yaani wewe kiazi tu, kama mama ni mtanganyika nenda znz leo upeleke maombi ya kununua ardhi uone kama utamilikishwa.

... Mkuu, Tanzania Kazi Tunayo, Ona Hilo Jamaa Halijui Linachokiandika, Linaendekeza Ushabiki Tu. Mbona Mim Ni Ccm Damu Lakin Naona Hamna Kitu Kwenye Hiyo Takataka
 
Halafu nafikiri huyo jamaa ni mgumba maana angekuwa na watoto angefikiria maisha yao baada ya yeye kwenda kaburini,
Ongelea katiba na pointi kwa point sio kuleta porojo hapa. Tao ibara ipi unaipinga kwanini. Sio kutoa bra bra tu.
 
Umesharudi toka Dodoma? Upambafu mloufanya mnaona hautoshi bado umatuletea hapa JF. Itisha mikutano na ccm wenzako ndo muongee huo uchafu wenu mmekosa hata aibu. Mijizi sugu!
 
... Mkuu, Tanzania Kazi Tunayo, Ona Hilo Jamaa Halijui Linachokiandika, Linaendekeza Ushabiki Tu. Mbona Mim Ni Ccm Damu Lakin Naona Hamna Kitu Kwenye Hiyo Takataka
Rwanda siku hizi kuna CCM?
 
Hivi wewe akili unazo kweli? Nikiuliza kwanini unanitukana utakuwa na jibu?
Acha bana mambo hayo ni ya watoto. Kwani unataka nifuate unayotaka wewe?

... Unaandika Na Kushabikia Utumbo, Na Utatukanwa Tu.!
 
1. Makamu wa kwanza ndiye mgombea mwenza wa rais
2. Makamu wa pili ni Rais wa Zanzibar
3. Makamu wa tatu ni waziri mkuu.

Unaielewa mantiki yake?

Kuna kipengele kinachokataza Waziri mkuu kutoka Zanzibar? Maana Waziri mkuu atapendekezwa na Rais kutoka katika chama chenye wabunge wengi. Jee Rais akitoka Zanzibar na akamteua Mbunge wa Makunduchi kuwa Waziri mkuu itakuwaje?
Nikusaidie, Rais Mzazibar, makamu wa pili Mzanzibari na Makamu wa tatu ( waziri mkuu) Mzanzibari wapi Tanganyika hapo?
 
Annael kumbe mpumbavu

Mwekezaji atakuwa na haki ya kutumia ardhi" hapo ndipo mtego ulipo,mbona haielezi kinagaubaga?, ni sheria ya kulinda wawekezaji na kuwafukuza wananchi.Hiyo ni geresha tu
 
Lugha ya Taifa
 
wewe ni mnyarwanda mambo ya TZ hayakuhusu na ni vigumu wewe kuyaelewa. Wewe endelea tu na kanchi kako hako. Tunawaheshimu na hata kwenye katiba inasema kuheshimu uhuru wa nchi zingine. Ya kwenu hayatuhusu.

.... Tena Wewe Ni Muganda. Ulikimbia Vita Ya Idd Amin, Rudi Kwenu Huko
 
Mwekezaji atakuwa na haki ya kutumia ardhi" hapo ndipo mtego ulipo,mbona haielezi kinagaubaga?, ni sheria ya kulinda wawekezaji na kuwafukuza wananchi.Hiyo ni geresha tu

Hebu soma kwa makini ibara 22 kifungu 2 hapa chini:-

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…