Pole sa hua hoja.agufui nio rRais wao wa awamu ya tano. uyo mzee wenenu labda asubiri awau ya kumi am atakwabado aa nguvuMatokeo ya uchaguzi 25 October 2015 ndipo tutajua majaliwa ya hitimisho ya mchakato wa Katiba Mpya.
Kama atakuwa ameshinda Maghufuli basi wote waliokiomba tupate katiba ya wananchi yaani ya rasmu ya Wariiba basi wakate tamaa hiyo kstiba haipo tena. Maghufuli lazima kwa mbinde zote zitashikia bango katiba pendekezwa. Lakini ikitokea mshindi ni Comrade Lowassa hivyo Ukawa watakuwa wamepata meno ya kupambana na Upatikanaji wa katiba ya wananchi. Wataanzia wapi hilo ni swala la wakati. Aidha kuanza kabisa au kuanzia pale alipofikia Warioba.
Katiba ndio dira yetu mengine yanayoongelewa hayatakuwa na maana kama katiba haitakuwa nzuri. Ningeshauri upigaji wetu kura ulenge kupata katiba mpya.
Matokeo ya uchaguzi 25 October 2015 ndipo tutajua majaliwa ya hitimisho ya mchakato wa Katiba Mpya.
Kama atakuwa ameshinda Maghufuli basi wote waliokiomba tupate katiba ya wananchi yaani ya rasmu ya Wariiba basi wakate tamaa hiyo kstiba haipo tena. Maghufuli lazima kwa mbinde zote zitashikia bango katiba pendekezwa. Lakini ikitokea mshindi ni Comrade Lowassa hivyo Ukawa watakuwa wamepata meno ya kupambana na Upatikanaji wa katiba ya wananchi. Wataanzia wapi hilo ni swala la wakati. Aidha kuanza kabisa au kuanzia pale alipofikia Warioba.
Katiba ndio dira yetu mengine yanayoongelewa hayatakuwa na maana kama katiba haitakuwa nzuri. Ningeshauri upigaji wetu kura ulenge kupata katiba mpya.
Mkuu usitarajie katiba mpya kutoka kwa Lowasa hasa ile ya Warioba labda nao wanyofoe ila si kuwa ipite kama ilivyo, naomba utafute sifa za raisi kwenye ile Rasimu utajua kwann nasema hivo
Tulia wew dogo wa kisiasa. Katiba mpya inakuja kupitia ukawa. Utauona mziki wa ukawa baada ya october
Hata bila UKAWA Katiba mpya ni lazima!Tulia wew dogo wa kisiasa. Katiba mpya inakuja kupitia ukawa. Utauona mziki wa ukawa baada ya october