KATIBA: CCT nao watoa tamko!

CCM hawaoni kasoro kwenye huu mswada wa sheria ya Mabadiliko ya Katiba? Wana Upofu gani huo? Yanayo wakuta Tambwe kuzomewa Karimjee, ni alama kuwa wamepotoka hebu rudini kwenye mstari there is nothing to loose, ruhusuni mchakato huru na usio kuwa na vitisho vya kuwafunga watu jela na kuzuia watu kupinga mahakamani. CHONDE CHONDE Jey Kei na watu wako nji hii ni yetu sote!!!!!!!!!!!!!
 
Kama mtakumbuka, sisi wenyewe hapa JF ndo tuliwapigia kelele viongozi wa dini kwa kukaa kwao kimya mambo yakienda mrama, so far wanachofanya wanasaidia kuzipaza sauti zetu tulio wengi na sijaona UDINI wowote katika nyaraka mbili hizi, ya jana na hii ya leo.

Natambua kuwa kuna maslahi ya watu yanaguswa sasa, ni wazi watataka kuvuruga hoja hizi, hapa itakuwa ngumu, vema waje kivingine, hoja ijibiwe na hoja.
Umesababisha kuna mtu asitie mguu wake maana naona kimya sana//
 
Safi sana! Tunawaomba na wenzetu BAKWATA watoe maoni yao mapema!
Kama wasemaji na watetezi wa chama cha magamba BAKWATA watadai huu ni udini na kutaka serikali itawaliwe na wakristo nan ni chuki za za wakristo dhidi ya jk. Chonde chonde Bakawata na nyie toeni maoni yenu ya kujenga nchi na siyo interception.
 
Back
Top Bottom