Chacha Steven Mokiri
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 2,008
- 2,232
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ujinga au kitu gan hivi wanafunzi mmekuaje sasa hiv seriously na wewe unasikia st.john ni chuo bora na wewe unakurupuka na kuandika hapa labda ujiambie anaufaulu mdogo sana hivyo akaona st john ndo chaguo lake narudia tena tatizo hapo ni ufaulu mdogo anyways back to the point kwa Pharmacy inaanza MUHAS ikifuatiwa na CUHAS na huyo mwingine unayesema ni the best
Hahaha hiyo pharmacy itakuwa ngumu kama mazengo ndo walivyo!Mpeleke dogo mazengo sec school, iliyopewa jina la St JOHN, chuo kikuu duniani kinachotoa coz za AFYA kisichokuwa na hospitali for practice. Na huo ubora sijui uliupima ww, ndio kikawa the best east africa, while hata bongo tu top 10 hakipo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwel zedon st joseph ni chuo bora kwa kozi nying sana MUHAS NA CUHAS vinafuata na msuli wa st johns ni hatarii kwan kudisco na kufreez nje nje. niwakubali hawa watuWakuu naomba kuuliza.
Mdogo angu anataka kusomea Pharmacy degree..
Je!.....
KATI VYUO HIVI...
ST JOHN
MUHAS
CUHAS
KIPI KITAMFAA KUTOKA COMPETENT KIAJIRA..
JE?
Nasikia ST JOHNS ndo chuo bora kwa Pharmacy EAST AFRICA . Ndo chaguo lake la kwanza
Maoni please.
kwel ze donStjohn HATARI
St john ni chuo cha mazwazwa(waliona ufaulu mbovu) huo ubora umepatikanaje? Kuna hospitali pale ya kufanya rotation? Ukijibu hayo maswali ndo utajua kama ni competate au laa.Wakuu naomba kuuliza.
Mdogo angu anataka kusomea Pharmacy degree..
Je!.....
KATI VYUO HIVI...
ST JOHN
MUHAS
CUHAS
KIPI KITAMFAA KUTOKA COMPETENT KIAJIRA..
JE?
Nasikia ST JOHNS ndo chuo bora kwa Pharmacy EAST AFRICA . Ndo chaguo lake la kwanza
Maoni please.
Unategemea nn kuingia na three(3) yako? Lazima udisco nje nje. MUHAS hakuna kudisco kwa ovyo ovyo maana pale wote wanaoenda ni majembe.kwel zedon st joseph ni chuo bora kwa kozi nying sana MUHAS NA CUHAS vinafuata na msuli wa st johns ni hatarii kwan kudisco na kufreez nje nje. niwakubali hawa watu
ipo mkuu pharmacy. lakn dogo aje akutane na wakina mtinange , nyambo lazma apanic kwanza alafu ndo atajua kumbe hata st john ni chuo bora na sio MUHAS tuSt john ni chuo cha mazwazwa(waliona ufaulu mbovu) huo ubora umepatikanaje? Kuna hospitali pale ya kufanya rotation? Ukijibu hayo maswali ndo utajua kama ni competate au laa.
Kuna jamaangu yuko pale apo st john, kichwa ngumu kuelewa na bado hajapata ata disco moja.
Mwambie mdogo wako aje MUHAS chuo bora kinachotambulika DUNIANI KOTE na siyo east africa akimaliza pale atakuwa most comletent ever seen.CUHAS NAPO POA.
Mm ndo nimejua leo kama st john kuna pharmacy[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
St john ni chuo cha mazwazwa(waliona ufaulu mbovu) huo ubora umepatikanaje? Kuna hospitali pale ya kufanya rotation? Ukijibu hayo maswali ndo utajua kama ni competate au laa.
Kuna jamaangu yuko pale apo st john, kichwa ngumu kuelewa na bado hajapata ata disco moja.
Mwambie mdogo wako aje MUHAS chuo bora kinachotambulika DUNIANI KOTE na siyo east africa akimaliza pale atakuwa most comletent ever seen.CUHAS NAPO POA.
Mm ndo nimejua leo kama st john kuna pharmacy[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] bora abaki apo apo atapoteza miaka ya kusoma akija muhas...ipo mkuu pharmacy. lakn dogo aje akutane na wakina mtinange , nyambo lazma apanic kwanza alafu ndo atajua kumbe hata st john ni chuo bora na sio MUHAS tu
una uhakika MUHAS hawadisco?Unategemea nn kuingia na three(3) yako? Lazima udisco nje nje. MUHAS hakuna kudisco kwa ovyo ovyo maana pale wote wanaoenda ni majembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajira nje nje.. mkuu ukiwa muhas.Mweeh Mweeh Mweeh
Unasoma MUHAS ya Kariakoo ghorofa ya tatu,ajira ni uhakika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale tunatambua suplementary 2. Hakuna disco.una uhakika MUHAS hawadisco?
Pale tunatambua suplementary 2. Hakuna disco.
Disco zipo st john 2 chuo cha kidaka wanafunzi waliokosa selection zote 5.
Sent using Jamii Forums mobile app