Kati ya UDOM na SAUTI wapi bora?

Ubora upo kwenye kichwa chako haingii akilini mtu awe kichaa akienda SAUTI au MZUMBE atakuwa ana akili timamu
 
kama Walimu wenyewe ndio hawa wanaosimamia hizo Interview basi lawama zimfikie Ndalichako na Mitaala ibadilishwe au wafundishwe grammer
 
Lakini magufuli alisema kujua english sio kigezo cha kuelimika. Au umesahau mkuu?
 
Lakini magufuli alisema kujua english sio kigezo cha kuelimika. Au umesahau mkuu?
Lakini mkuu kubali au kataa, hamna mwajiri atakae furahi kuajiri graduate asio jua kiingereza fasaha kwa wakati hu kwenye nafasi nyeti, biashara na good services, it's all about your employee expression, cofedence skills and command of both local and foreign languages to the clients....sasa kama our graduates can't whom do you expect to do it.
 
Mjitahidi muwe na oral exams Hasa Hivi vimitihani vya Muda mfupi. Itawasaidia sana. Hasa kwa masomo ya kujieleza. Inapunguza kukariri na kuleta uelewa.
 
kama Walimu wenyewe ndio hawa wanaosimamia hizo Interview basi lawama zimfikie Ndalichako na Mitaala ibadilishwe au wafundishwe grammer
Kaka katika watu ambao ni wavumilivu katika maoni ayatoayo mwalimu naweza nikasema ni mimi,nimevumilia sana makosa yake ya kiuandishi nikampa muda nikajua atajistukia nikaona anazidi tu kukosea.

Endelea kumkumbusha maana,daah,mwalimu anasema "mijadara" badala ya "mijadala".
 
Mjitahidi muwe na oral exams Hasa Hivi vimitihani vya Muda mfupi. Itawasaidia sana. Hasa kwa masomo ya kujieleza. Inapunguza kukariri na kuleta uelewa.
Oral examination labda iwe katika kiswahili hata kiswahili wanatumia cha mitaani sio fasaha, ila kiingereza ndo shida kumbwa zaidi kwa our graduates ....especially prepositions future tense present continuous tense, past perfect tense..... ukimsikiliza utachoka, kila sentence anaiuganisha na neno "because" wala yeye ashtuki kama kakosea mahara....yeye anaona iko "deep sana" ndo aina ya ma graduate wetu.
 
Mkuu si shauri chuo chochote kati ya hivyo,,maana navifahamu vizuri.

Hata waliosoma hivyo vyuo ni mashahidi tosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…