Kati ya UDOM na SAUTI wapi bora?

Mwanafunzi mchafu hawezi kufanya vizuri. Kwakwel pia ni tatzo la utawala, mifumo ya maji (WASH Facilities) ni mbovu sana wanafunzi wanakunya wanachambia magazeti used
 
Mkuu naona tumeelewana katika hilo, in general most of our graduates their "halfbaked" hata katika paper work......in fact kwa mfumo wetu wa elimu our so called graduates wangeanza na vyuo vya kati for two year for astashahada au astashahada then do wa juinge na University.....ila ni aibu kubwa kuwaita graduates wakati na application standard hawezi kuandika kwa kiswahili au English huu ndo ukweli.
 
Nwkuelewa vizur Mkuu. Ila Mimi sitaki kuwalaumu wanafunzi moja kwa moja. Najua watu watasema siku hizi resources zipo nyingi tofauti na zamani. Sasa hao wazamani bila resources za nje waliwezaje? Utakuja kuona walifundishwa vizuri. Kwa hiyo kikubwa ni wanafunzi wafundishwe vizuri halafu wakishindwa ndio tuwalaumu.
 
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita anataka ku appy bachelor degree.

Ni wapi mahali bora zaidi kwa maana ya wahadhiri, mazingira, na ubora wa elimu kati ya chuo kikuu UDOM na sauti???
Uzuri au ubora wa chuo kikuu chochote duniani sio majengo au wamiliki wa chuo .....ni academic work ambazo ni Tafiti au research work" zinazo leta ugunduzi na kutatua changa'moto katika jaami na credibility za findings zao.....ukitoa udsm ambayo imetowa various reasch findings nakujadiliwa na wasomi wakimataifa....naomba unitajie SAUT au Udom imefanya research finding ngapi? Imehoji mijadara yakimatifa na kualika ma cademician mira ngapi? Sawa nation public speeches and debate ngapi...? nothing academically has been portrayed by these universities..ziko bize kukusanya ada, na kua political organs za Lupen politicians hamna education work.
 
Mkuu sasa maoni yako ni yapi?? asichague UDOM wala SAUTI?
 
Na wewe kwa uandishi huo unahukumu uliowafanyia usaili! Nimekusoma komenti ya kwanza nikadhani umeteleza, na ya pili tena mule mule.

Laisi= Rahisi
 
Na wewe kwa uandishi huo unahukumu uliowafanyia usaili! Nimekusoma komenti ya kwanza nikadhani umeteleza, na ya pili tena mule mule.

Laisi= Rahisi
Mkuu samahani sana ni"mother tongue"
 
naona unatuhakikishia hazarani kwamba SAUT kuna wanafunzi wengi wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri..
Unakuaje na uwezo mkubwa wa kufikir halafu unakua mchafu?! Huko ni kua chizi kama AnkoJJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…