Regnatus Cletus
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,114
- 959
mkuu ubora wa kufundisha au Ubora wa products zake?Anataka kuchukua kozi gani? maana kila chuo kina uhodari wake kwenye kozi Fulani mfano Kwenye Journalism SAUT wako kwenye Ubora.
DuhVyuo vingi bongo havitofautiani sana kwenye ubora na ubovu..
Kozi ganiNina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita anataka ku appy bachelor degree.
Ni wapi mahali bora zaidi kwa maana ya wahadhiri, mazingira, na ubora wa elimu kati ya chuo kikuu UDOM na sauti???
Vyuo vingi bongo havitofautiani sana kwenye ubora na ubovu..
Hoja yako ya msingi iko sahihi. Kuwa vyuo vingi vinatoa product mbovu. Ila sikubaliani na wewe unapo pima uwezo wa MTU kwa kujua kujielezea kwa kiingereza kwa dk 25.Umenena ukweli mkuu, vyuo vyetu ni vile vile na wanafunzi wete ni wale wale....kudesa cozi work, kukariri madesa, kujadili kiingereza kwa kiswahili,kujaziana attendence, tofouti unakuja kwa individual student sio kwa chuo as a whole....mimi nime interview wana chuo wengi kutoka vyuo tofauti,vikiwemu Udsm Udom Sauti Mum, lakini hari yao ni moja unakuta wengi cant express them selves in English for 25min. No matter GPA yake ni ngapi.....jambo mhimu ni kurekebisha mitaala yetu shule za msingi na sekondary tupate foundation ndo tutapata product nzuri
Mkuu hatuwezi kupime vyote kwa mda mfupi,.... ila self expression ndo ya kwanza kwa graduate anae taka kazi ya "public relation" kipimo laisi na cha kwanza ni spoken and self confedence. Ambayo ni shida kubwa kwa ma graduate wetu, wengi hiyo lugha ndo medium of communication kutoka form 1 hadi chuo, how comes that you don't master the language, alikua anafauli je kozi work na mitihani. Ndo maana nasema vyuo vyetu vikuu are the same tofouti ni majina na year of establishment.Hoja yako ya msingi iko sahihi. Kuwa vyuo vingi vinatoa product mbovu. Ila sikubaliani na wewe unapo pima uwezo wa MTU kwa kujua kujielezea kwa kiingereza kwa dk 25.
Mimi huwa naona lugha ya kwenye notsi ni tofauti na ya kuongea.(japo vinaweza Ku fanana). Mfano mdogo tu kiswahili cha kwenye vitabu (kama kamusi) ndio kiswahili fasaha. Ila jiulize ni watanzania wangap wanaongea kiswahili sahihi kama cha kwenye kamusi?Mkuu hatuwezi kupime vyote kwa mda mfupi,.... ila self expression ndo ya kwanza kwa graduate anae taka kazi ya "public relation" kipimo laisi na cha kwanza ni spoken and self confedence. Ambayo ni shida kubwa kwa ma graduate wetu, wengi hiyo lugha ndo medium of communication kutoka form 1 hadi chuo, how comes that you don't master the language, alikua anafauli je kozi work na mitihani. Ndo maana nasema vyuo vyetu vikuu are the same tofouti ni majina na year of establishment.
Mimi hupendelea kujua program gani mtu anataka na ndio ushauri ufuatie. Hivyo mkuu kwa msaada zaidi eleza huyo kijana anataka akasome nini?Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita anataka ku appy bachelor degree.
Ni wapi mahali bora zaidi kwa maana ya wahadhiri, mazingira, na ubora wa elimu kati ya chuo kikuu UDOM na sauti???
Aombe kote. Akishapata ndio uje kuomba ushauri... Vyuo vyote vinavyotambulika na TCU vina 'ubora sawa'...Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita anataka ku appy bachelor degree.
Ni wapi mahali bora zaidi kwa maana ya wahadhiri, mazingira, na ubora wa elimu kati ya chuo kikuu UDOM na sauti???
LLB mkuuMimi hupendelea kujua program gani mtu anataka na ndio ushauri ufuatie. Hivyo mkuu kwa msaada zaidi eleza huyo kijana anataka akasome nini?
kwaiyo sauti ni bora kuliko udom?Njoo SAUT tulijenge jiji la Mungu
True mkuu..nikisemaga hivi watu wanaonega kama nimeongea upumbavu.Umenena ukweli mkuu, vyuo vyetu ni vile vile na wanafunzi wete ni wale wale....kudesa cozi work, kukariri madesa, kujadili kiingereza kwa kiswahili,kujaziana attendence, tofouti unakuja kwa individual student sio kwa chuo as a whole....mimi nime interview wana chuo wengi kutoka vyuo tofauti,vikiwemu Udsm Udom Sauti Mum, lakini hari yao ni moja unakuta wengi cant express them selves in English for 25min. No matter GPA yake ni ngapi.....jambo mhimu ni kurekebisha mitaala yetu shule za msingi na sekondary tupate foundation ndo tutapata product nzuri
Hahaha..watanzania nani katulogaWanafunzi wa udom wachafu kunuka huez fananisha na wa SAUT bab
Wanafunzi wa udom wachafu kunuka huez fananisha na wa SAUT bab