alen augustine Member Apr 27, 2017 29 9 May 2, 2017 #1 Kati ya ualimu primary na uhasibu bora kusomea nini hasa kwenye upatikanaji wa ajira
WirelessBrain JF-Expert Member Apr 11, 2016 980 1,349 May 2, 2017 #3 Unajitesa kusoma 'madigiriii' Kumbe nafasi zingine ni kujua kusoma na kuandika tu.. Be like bro
kijana255 JF-Expert Member Mar 5, 2017 277 260 May 19, 2017 #5 onyx said: Uhasibu, Click to expand... Yuko sahihi
K kokotani JF-Expert Member Nov 17, 2016 211 151 May 19, 2017 #6 Dunia ya sasa no ya kujiajiri mwenyewe Wahasibu wana nafasi nzuri sana ya kujiajiri haraka zaidi kuliko walimu
Dunia ya sasa no ya kujiajiri mwenyewe Wahasibu wana nafasi nzuri sana ya kujiajiri haraka zaidi kuliko walimu