Mzee wa Torano
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 519
- 696
Ipo startimes,Chanell 115.hiyo tv e watuwekee na startimes
Kwenye dishi hamna, ipo kwenye antennaIpo startimes,Chanell 115.
Yeah mkuu.Kwenye dishi hamna, ipo kwenye antenna
hivi mimi king'amuzi Changu Eti nangaliaaaaa Weeee silipiii na hawanifungii Sijui kina matege
Asante kwa taarifa mkuu tatizo lako limefikishwa idara husika Muda si mrefu utahudumiwahivi mimi king'amuzi Changu Eti nangaliaaaaa Weeee silipiii na hawanifungii Sijui kina matege
mbona mimi siioni? Inapatikana katika kifurushi gani?Ipo startimes,Chanell 115.
Kile cha elfu 12000,.lakini katika antena sio dish.mbona mimi siioni? Inapatikana katika kifurushi gani?
Kwa azamu chanel namba ngap hiyo TVETv E, ni noma, nafikiri ndiyo hii tunayoipata kwenye king'amuzi cha azam, hii ni noma, TV za muziki zijipange, picha zao ni bora Sana, utadhani siyo ya hapa Tanzania, utadhani mamtoni.
Inahusu nnmbona mimi siioni? Inapatikana katika kifurushi gani?
Namba 115Kwa azamu chanel namba ngap hiyo TVE