KATI YA TV HIZI MPYA ....IPI Kali zaidi?

Mzee wa Torano

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
519
696
Kati ya TV hizi mpya ambazo naziona katika king'amuzi cha STARTIMES ipi unaitabiri kufanya vizuri ,na kubamba zaidi wabongo?

..1...TV -e
..2...Africa Swahili TV
..3...Tabibu TV
Nawasilisha
 
Tv E, ni noma, nafikiri ndiyo hii tunayoipata kwenye king'amuzi cha azam, hii ni noma, TV za muziki zijipange, picha zao ni bora Sana, utadhani siyo ya hapa Tanzania, utadhani mamtoni.
 
Tv E, ni noma, nafikiri ndiyo hii tunayoipata kwenye king'amuzi cha azam, hii ni noma, TV za muziki zijipange, picha zao ni bora Sana, utadhani siyo ya hapa Tanzania, utadhani mamtoni.
Kwa azamu chanel namba ngap hiyo TVE
 
Startimes wanaubaguzi sisi mikoani hizo channel hazipo hata clouds TV haipo wakati tunalipia sawa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom