Kati ya PROF. KABUDI na PROF. SHIVJI nani Zaidi?

Kati ya PROF. KABUDI na PROF. SHIVJI nani Zaidi?

Kwa maoni yangu, comparison ya kushindanisha watu wawili wanaofanana kwa kuuliza nani zaidi, is not fair kwa members of academia!.

Swali la msingi lingepaswa kuwa "Compare and contrast Prof. Kabudi na Prof. Shivji.Kwa vile wawili ni waalimu wangu, naomba ku reserve comments zangu.
Pasco.

Both ni waalimu wa sheria UDSM
Both ni mabingwa wa sheria waliobobea kwenye constitution law.
Both ni vichwa mbaya, GPA ya 1st Class ya Kabudi (4.8) ni historical kwa UDSM haijawahi kufikiwa na mwanafunzi mwingine yoyote mpaka kesho!. Thinking Capacity and analysis ya Shivji ni kitu ingine.
Wote ni watu wa misimamo isiyoyumba ila mmoja ni extremist, mmoja ni moderate!.
Wote wawili ni watu wa msaada sana kwa wanafunzi wao, mimi nikiwa shuhuda, Kabudi ndio alikuwa supervisor wangu, Prof. Shivji alikuwa mentor wangu.

Mmoja anatanguliza mbele maslahi ya taifa, ikibidi kuipinda sheria kwa ajili ya maslahi ya taifa, anaweza ukaipinda kidogo ili kulinusuru taifa!, mwingine anashikilia misimamo ya kisheria!, maadamu sheria inasema hivi, hivyo ndivyo inavyotakiwa iwe, ikibidi nchi kuvunjika na ivunjike! lakini sheria ifuatwe!.
Wote ni wanasheria wanasiasa!, kuna uwezekano wa mmoja kuwa ni mshabiki, au mfuasi wa chama cha siasa, mwingine hana chama!.

kwani waliwahi kufundisha DSJ ?
 
Shivji Tanzania watu wachache mno wanamuelewa...shivji hapingi serikali tatu...yeye anacho pinga ni warioba kusema wengi wanataka serikali tatu while ni 5 percent only ya waliohojiwa na tume...

Ulitaka ahoji watu milioni 20 ndio WARIOBA aonekane amefanya jambo la maana?
 
Nia ni kuleta mpasuko.....kila mmoja ni zaidi kwa nafasi yake.
Ingawa leo kabudi kanifurahisha mpaka machoz yalinitoka na kuwakumbuka watu kama Prof Jwani Mwaikusa na Dk Mvungi.

kaka alipo kuwa anaongea,mm nilishikwa na hisia kali sana mpaka nilitamani niipindue serekali niwe raisi kwa muda niweke mambo sawa,ila moyo ukanirudi nikajisemea ipo siku!
 
Shivji Tanzania watu wachache mno wanamuelewa...shivji hapingi serikali tatu...yeye anacho pinga ni warioba kusema wengi wanataka serikali tatu while ni 5 percent only ya waliohojiwa na tume...

huyo shvj hata kabla hajawa kibaraka wa ccm alikuwa anajichanganya sana ktk maelezo yke
 
huyo shvj hata kabla hajawa kibaraka wa ccm alikuwa anajichanganya sana ktk maelezo yke

mi siku hizi hata simsikilizi tena, nilivyogundua ni kigeugeu akanitoka kabisaaa
 
Ila huyu kabudi ni hatari yan katoa facts za kisomi 2pu hata kama ulikuwa zuzu kuhusu katiba unakuwa na uelewa mpana.kiufupi leo kawafunika wote pale ingawa wote walikuwa nondo mbaya .
 
Yeye alitaka wahojiwe asilimia ngapi?

Wamehojiwa watu zaidi ya laki moja waliotaka serikali tatu hawakufika hata watu elfu 5

pointi ya Shivji ni kuwa wale ambao hawakuona tatizo na muundo wa muungano ulivyo
basi wachukuliwe kuwa ni serikali mbili..so hao ndio majority...hawakuzungumza since hawakuona tatizo
while Warioba anadai waliotaka serikali tatu ni wengi only sababu ni wengi katika waliokosoa muungano
ambao hawakukosoa muundo wa muungano walikuwa zaidi ya asilimia 70
 
Kwa maoni yangu, comparison ya kushindanisha watu wawili wanaofanana kwa kuuliza nani zaidi, is not fair kwa members of academia!.

Swali la msingi lingepaswa kuwa "Compare and contrast Prof. Kabudi na Prof. Shivji.Kwa vile wawili ni waalimu wangu, naomba ku reserve comments zangu.
Pasco.

Both ni waalimu wa sheria UDSM
Both ni mabingwa wa sheria waliobobea kwenye constitution law.
Both ni vichwa mbaya, GPA ya 1st Class ya Kabudi (4.8) ni historical kwa UDSM haijawahi kufikiwa na mwanafunzi mwingine yoyote mpaka kesho!. Thinking Capacity and analysis ya Shivji ni kitu ingine.
Wote ni watu wa misimamo isiyoyumba ila mmoja ni extremist, mmoja ni moderate!.
Wote wawili ni watu wa msaada sana kwa wanafunzi wao, mimi nikiwa shuhuda, Kabudi ndio alikuwa supervisor wangu, Prof. Shivji alikuwa mentor wangu.

Mmoja anatanguliza mbele maslahi ya taifa, ikibidi kuipinda sheria kwa ajili ya maslahi ya taifa, anaweza ukaipinda kidogo ili kulinusuru taifa!, mwingine anashikilia misimamo ya kisheria!, maadamu sheria inasema hivi, hivyo ndivyo inavyotakiwa iwe, ikibidi nchi kuvunjika na ivunjike! lakini sheria ifuatwe!.
Wote ni wanasheria wanasiasa!, kuna uwezekano wa mmoja kuwa ni mshabiki, au mfuasi wa chama cha siasa, mwingine hana chama!.

very good analysis
 
shivji kazeeka sasa, nadhani hata akili nayo inaanza kuchoka. kabudi bado mtu mzima ana nguvu ya mwili na akili pia. kwa mtizamo wangu kabudi na late dr mvungi wamebobea zaidi kwenye sheria zinazohusu katiba
 
Shivji Tanzania watu wachache mno wanamuelewa......
Mkuu The Boss, usemayo ni kweli kwa 100% sure ni watu wachache mno wanaomuelewa, kwa sababu ili mtu uweze kumuelewa vizuri Shivji, kwanza wewe tuu mwenyewe unapaswa kuwa na level fulani ya uelewa!, kwa bahati mbaya, wenye level hiyo ni wachache, mon, hivyo wengi wetu akina sisi, tunaishia kutomuelewa!.

Wale wenye nafasi, pitiamo humu japo kidogo, msiomuelewa Shivji, hii inaweza kuwasaidia mkamuelewa japo kiduchu tuu.

[h=3]Prof. Shivji Aukosoa Mchakato wa Katiba Mpya!- Aliponda Bunge la Katiba!...[/h]
[h=3]Prof. Issa shivji ampa somo jaji joseph warioba[/h]
[h=3]Shivji: Mimi ni muumini serikali mbili [/h]
[h=3]Kosa la jaji Warioba na udhaifu wa prof. Shivji [/h]
[h=3]Topic: Prof. Shivji na Uchambuzi wa Uwezo na Mamlaka ya[/h]
Nadhani inatosha kwa kuanzia!.

Pasco
 
Hivi Dr Harrison Mwakyembe naye ni mwanasheria?! Kwanini hakuwashauri CCM kuhusu interpretation fallacy ya sura ya 1 ya rasimu ya katiba ya Judge Warioba?!

Sura ya 1 imeandikwa mwishoni baada ya sura zingine kuwa zimeandikwa. Maana yake ni kwamba ile uilewe sura ya 1 lazima kwanza usome sura nyingine.

Ajabu maCCM yameilewa sura ,1 hata kabla ya kusoma sura nyingine za rasimu. This is only possible to CCM. Hayo ndio madhara ya skins Mwakyembe kukabidhi akili zao na vyeti vyao kwa Nape Nnauye!
 
...huwezi kulinganisha mchumia tumbo aliyenunuliwa na ccm mpaka anakimbiwa kuitwa kwenye midahalo ya kizalendo na wazalendo...

Ndio maana kunampuuzi alikuwa anasema waindi wanajua kuchangamkia fursa wakati ukweli ni huwa wanapendwa na mafisadi kwasababu hawana uzalendo na hana na uchungu na hii nchi
 
Wote zaidi. Shivji kazeeka tu ndiyo maana aliteleza kidogo ila na yeye kiboko. Enzi zake weeeh!!
Wakuu, kwa wafuatiliaji wa mijadala mbalimbali kwa mustakabali wa Taifa letu katika masuala ya kisiasa, kikatiba na kisheria nani zaidi kati ya wasomi hawa wawili ; Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Issa Shivji?
 
Back
Top Bottom