kati ya mwanamke wa kijijini na mjini yupi mkemwema
Wakuu, katika kufunga ndoa ni mwanamke anaye faa kuoa nani anafaa zaidi kuwa mke mwema? Wa kijijini au wa mjini na kwa sababu gani?
wewe ni wa kijijini au wa mjini jibu kwanza.wakuu, katika kufunga ndoa ni mwanamke anaye faa kuoa nani anafaa zaidi kuwa mke mwema? Wa kijijini au wa mjini na kwa sababu gani?
utajuaje ni mlango wake wa nyuma?????????.......hii avatar anaitumiaga @belindajacob.....tuliyemzoea humu.......wewe unatuchanganya.......![]()
Wakuu, katika kufunga ndoa ni mwanamke anaye faa kuoa nani anafaa zaidi kuwa mke mwema? Wa kijijini au wa mjini na kwa sababu gani?
Ahsante dada kwa maneno ya busara.Mke mwema hutoka kwa Bwana!
Period........
Wakuu, katika kufunga ndoa ni mwanamke anaye faa kuoa nani anafaa zaidi kuwa mke mwema? Wa kijijini au wa mjini na kwa sababu gani?
Unataka kuwowa?
NASHUKURU KWA SALAMU ,PIA HUO MJI ANAOUZUNGUMZIA INABIDI TUIKATEGORISE HUWEZI FANANISHA MWANMKE WA ARUSHA MJINI/MOSHI MJINI AU MWANZA NA MWANAMKE WA JIJI NA DSM YULE MWANAMKE ALIYESHINDIKANA HUKO AR,MS ,MWZ HUYO NI KINDERGATEN HAPA JIJI NA DSM so BE WARNED KAMA UKO MUJINI OA MUJINI KAMA HUKO KIJIJINI OA HUKO USITAFUTE TABU BUUUREBinafsi naona mwanamke mwema ni tabia yake binafsi ambayo kwa kiasi fulani haitegemei mtu huyo anaishi mjini au kijijini. Lakini uchunguzi usio rasmi nilioufanya mwenyewe unaonyesha kuwa unapomtoa mwanamke kijijini na kumleta mjini, siku akipata exposure na kuamua kukengeuka, huwa mbaya zaidi kuliko yule wa mjini aliyekengeuka. Kwa mantiki hiyo, kwa matokeo bora kama uko mjini ni vyema uoe/kuolewa na huyo wa mjini kama uwezekano huo upo, na kama uko kijijini, ni vyema pia kuoa/kuolewa na wa huko. Kuna uwezekana, mtazamo wenu, uchumi wenu, maisha yenu, tabia zenu na tamaduni zenu pia zikaenda pamoja na kuwafanya muwe na ndoa ya muda mrefu.
Nawaza kipuuzi, kama mmoja ni wa kijijini na mwingine wa mjini, kuna kazi kubwa sana ya kuhormonize tabia, mtizamo, priority, nk kitu ambacho kinaweza kusababisha migogoro ya hapa na pale. Otherwise naungana na charminglady ya kwamba mke mwema hutoka kwa Bwana.
charminglady, upo? Nimekumiss ...
Nivea, mdogo wangu mpendwa, salama zikufukie popote ulipo!