Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Kumekuwa na uchaguzi wa marudio katika mitaa/vijiji 8 CCM imeshinda 7 huku ukawa wakiambulia 1...nini maana yake? je ni kushindwa kwa operesheni? kuchokwa kwa upinzani...yaani usultanI na mabavu kwenye vyama?.
Huu ni muendelezo wa matokeo mabovu ndani ya wiki moja na sasa inahitaji mjadala mpana
Huu ni muendelezo wa matokeo mabovu ndani ya wiki moja na sasa inahitaji mjadala mpana