atajibu kichaa.....
John Mnyika namuona ajapata pancha nyingi.kwanini mkuu.
Na tena mgombea mwenza awe mumewe au mjomba wakeWewe unafaa zaidi
Wassira umerudi kwa ID bandia?Umesahau Chadema makinikia (ni ya Lowassa na Sumaye). In short hiki chama kitakufa siku si nyingi tu.
Jamani! unavyofikiria kitu chochote greatly ili kiwe constructive ni lazima bongo itumike huku ikisaga calories zako. Sas uruhusu ubongo kufikiria hata hata unachoona ni nonsense? Haihitaji degree mtu wa kawaida kubullshit uzi huu.Hauna afya.usitumie kichwa chako kufugia tu chawa mkuu. kitumie kufikiri pia
Wote watatu ni presidential material, akisimamishwa yeyote dhidi ya JPM atamshinda vibaya kama tutakua na tume huru ya uchaguzi, kwasababu za kiumri anatakiwa uchaguzi ujao asimamishwe Lowasa, uchaguzi ujao Mbowe au Lisu waisaidie nchiHivi karibuni kulikuwa na mada hapa ikielezea aina za chadema zilizopo sasa hivi, ilitajwa Chadema asilia, chadema madaraka, chadema CCM, chadema masalia nk. leo ningependa tuumize vichwa kujua hivi ni nani hasa ambaye endapo chadema itamsimamisha kugombea urais ataweza kupambana ipasavyo na rais wa dunia mh. DR John Pombe Magufuli. mtumbua majipu na mchukia rushwa kwa vitendo.
majina yanayong'ara kwa mbaali sana ambayo tunaweza kuanza nayo ni tundu, lowasa na mbowe. nani zaidi kati ya mapacha hawa watatu? nani zaidi hata ambaye sijamtaja?
Wassira umerudi kwa ID bandia?