Kati ya Mbowe, Lissu na Lowassa, nani anafaa kuwa rais? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya Mbowe, Lissu na Lowassa, nani anafaa kuwa rais?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by T2015CCM, Sep 6, 2017.

 1. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2017
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,915
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Hivi karibuni kulikuwa na mada hapa ikielezea aina za chadema zilizopo sasa hivi, ilitajwa Chadema asilia, chadema madaraka, chadema CCM, chadema masalia nk. leo ningependa tuumize vichwa kujua hivi ni nani hasa ambaye endapo chadema itamsimamisha kugombea urais ataweza kupambana ipasavyo na rais wa dunia mh. DR John Pombe Magufuli. mtumbua majipu na mchukia rushwa kwa vitendo.

  majina yanayong'ara kwa mbaali sana ambayo tunaweza kuanza nayo ni tundu, lowasa na mbowe. nani zaidi kati ya mapacha hawa watatu? nani zaidi hata ambaye sijamtaja?
   
 2. Mfukua Makaburi

  Mfukua Makaburi JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2017
  Joined: Mar 21, 2014
  Messages: 2,463
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Hashim Rungwe
   
 3. Eng Nyahucho

  Eng Nyahucho JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2017
  Joined: Dec 18, 2016
  Messages: 594
  Likes Received: 822
  Trophy Points: 180
 4. mitindo huru

  mitindo huru JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2017
  Joined: Apr 26, 2016
  Messages: 975
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 180
  Kwa upande wangu, namuona John Mnyika ndio mtu sahihi wa kupewa hiyo mikoba, ila hao wengine ni ngumu kumeza

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 5. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2017
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,380
  Likes Received: 5,185
  Trophy Points: 280
  Thread za kijinga kutoka kwa wajinga na watajibizana wajinga.
   
 6. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2017
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 24,656
  Likes Received: 15,755
  Trophy Points: 280
  Wewe unafaa zaidi
   
 7. mitindo huru

  mitindo huru JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2017
  Joined: Apr 26, 2016
  Messages: 975
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 180
  Comment ya kikichaa toka kwa kichaa

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 8. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2017
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 17,129
  Likes Received: 57,911
  Trophy Points: 280
  Wote hawafai.
   
 9. heradius12

  heradius12 JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2017
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 6,685
  Likes Received: 8,243
  Trophy Points: 280
  Dictator uchwara

  ‍♂️naenda zimbobo.
   
 10. k

  kalulukalunde JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2017
  Joined: May 27, 2016
  Messages: 1,018
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  lowassa hafai kabisa tumeshamkataa 2015, asahau kabisa urais

  Mbowe ikiwa aliwauzia mafisadi chama hata shindwa kuuza nchi.

  Lissu hafai kabisa atakuwa kibaraka wa mabepari na wakoloni, kama ilivyokuwa Zaire ya Mobutu
   
 11. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2017
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,915
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  usitumie kichwa chako kufugia tu chawa mkuu. kitumie kufikiri pia
   
 12. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2017
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,915
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  kwanini mkuu.
   
 13. l

  ludacric Senior Member

  #13
  Sep 6, 2017
  Joined: Aug 27, 2017
  Messages: 110
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 60
  KATIBA MPYA ITANGULIE NDO TUANZE CHAGUA NANI ANAFAA
   
 14. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2017
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,380
  Likes Received: 5,185
  Trophy Points: 280
  Hivi ulicholeta hapa nacho ni cha kufikirisha?
   
 15. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2017
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  Mama Anna Mghwira
   
 16. c

  chekx JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2017
  Joined: Apr 5, 2014
  Messages: 543
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 60
  James Mbatia, sema shida yenu moja hicho kiti mnakiuza, na MTU kama Mbatia hawez kununua

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 17. k

  kabombe JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2017
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 14,987
  Likes Received: 8,011
  Trophy Points: 280
  Hakuna hata mmoja anafaa kuwa Rais hapo,wote wasanii tu
   
 18. mbongo_halisi

  mbongo_halisi JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2017
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 2,386
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280

  Umesahau Chadema makinikia (ni ya Lowassa na Sumaye). In short hiki chama kitakufa siku si nyingi tu.
   
 19. Barbarosa

  Barbarosa JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2017
  Joined: Apr 16, 2015
  Messages: 13,641
  Likes Received: 11,922
  Trophy Points: 280

  Mimi nafikiri Raisi awe Mbowe, Makamu house nigger Lisu na Waziri Mkuu Fisadi Lowasa, hapo LGBT mtakuwa mmepata Uongozi!
   
 20. n

  nkongu ndasu JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2017
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 22,527
  Likes Received: 3,751
  Trophy Points: 280
  wote wanafaaa
   
Loading...