Kati ya Mayele na Kagere nani bora?

Eti mayele hata asipofunga anaweza kukudhulu akasababisha timu ipate penalty

Reference ya hicho ulichokiandia kipo based kwenye ile mechi ambayo aliunawa mpira na refa akafunika penalty

Huoni kwamba hapo unaongelea uwezo wa refa?
 
Ukitumia takwimu za ligi yetu Kagere ni bora kumpita huyu mkongo. Moja, Kagere kawa mfungaji bora katika ligi yetu kwa season mbili,pia ameweza kuscore 10 plus goals misimu mitatu kitu ambacho haijafahamika kama mkongo ataweza

Mwisho kabisa Kagere ana goals nne mpaka sasa wakati huyu mkongo ndo kwanza anajitafuta katika ligi. Anyway,Kagere is the best striker of all time in TPL,VPL and NPL.
Umeongea vizuri mwanzoni halafu ukakoroga uji mwishoni. Yaani Kagere awe striker Bora wa Muda wote Tanzania?? Umeanza ushabiki 2014!!?
 
Akili za UTOPOLO kila wakati ni kujifananisha na Simba.
Jaribuni japo kidogo muwe na akili timamu.
AKILI ZA KITOPOLO TOPINYO, zimewapofusha na kula medulla oblongata zenu. Mnayumba sana kama mlevi wa ulanzi.
 
Ligi ndo kwanza imeanza umeshaanza mambo ya nani mkali.Sio fair kufanya ulinganifu kati ya mchezaji mwenye zaidi za misimu 3 na yule mwenye mechi 5.Ata kama ukichukua uwiano wa viwango vya mechi walizocheza msimu huu tu bado haileti maana kwasababu mmoja yuko kwenye timu ambayo kaizoea kama ni mabadiliko ni kidogo ila mwingine yuko kwenye timu ngeni ndo kwanza anaanza kuzoea timu hadi mazingira ya nchi na viwanja kwa ujumla.Fanya ulinganifu kwakutumia uhalisia sio ilimradi tu.
 
Umeongea vizuri mwanzoni halafu ukakoroga uji mwishoni. Yaani Kagere awe striker Bora wa Muda wote Tanzania?? Umeanza ushabiki 2014!!?
Hapa nimehitimisha kibabe sana alafu fresh tu 😏

Sema vipi kutaka uwapambanishe Kagere na Mayele kwa sasa bado.

Kama ligi yetu ingekuwa imepiga hatua sana tungetumia vigezo kama passing accuracy per game played,shots attempted,goals scored,assist per game,distance covered by a player in each game and the list goes on.Sasa hizi takwimu sina uhakika kama Azam anaweza kuwa nazo zote
 
Umeongea vizuri mwanzoni halafu ukakoroga uji mwishoni. Yaani Kagere awe striker Bora wa Muda wote Tanzania?? Umeanza ushabiki 2014!!?
Msamehe bure,kaanza ushabiki baada ya Mwamedi kununua Kolo,hawajui kina Mohammed Hussein Mmachinga waliofunga goli 26 kwenye ligi ya timu 14
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom