Kati ya mambo hayo, Kidedea na Kaole nani walibamba zaidi tasnia ya michezo ya kuigiza?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Salaam,
We can all agree that michezo ya television for now imepoteza taste kabisa si kama zamani. Enzi zile hadi wazazi walikua wakifuatalia michezo hii. Watu kama kina bishanga bashaija, Cathy, rich, mzee jengua, tabia(rip),kibakuli,Nina,swebe,anti seche, Dr. Cheni, kisa, mhogo mchungu etc. Walikonga nyoyo za mashabiki wengi wa tasnia hii. Swali linakuja, je katika makundi yote haya unahisi kundi gani lilitisha zaidi na waigizaji gani walikukosha zaidi? Hebu tutiririke.....
 
Mambo Hayo - nilikuwa napenda segment ya joti na Mpoki.

Kaole walikuwa ni all round team, nadhani kwa kipindi kile ukizungumzia kundi, Kaole lilikuwa kundi la mfano.

Kidedea kuna igizo ambalo Jengua ali-act kama Baba yao kina Tabia, ule mchezo ulibamba sana.
Sahihi mkuu, jengua alikua mkaksi sana kwa bintize lakini mtt wake wakiume alikua anamfuga. Mzee alikua mkoloni sijawahi ona
 
Kaole sanaa group limetoa 90% ya Bongo movie super star wa nchi hii pamoja na Mcs na watangazaji wa redio na TV kwa kiasi chake. Kwa upande wangu kaole niliwakubali zaidi hasa lile tamthiliya yao ya Muhogo Mchungu anamuozesha mwanae aliekuwa mwali Nyamayao kwa mzee Pwagu(RIP). Familia ilikuwa haijakubali jambo hilo hasa ikizingatiwa umri wa Mzee Pwagu kwa Nyamayao ni kama mtu na mjukuu wake. Alichofanya Muhogo Mchungu alikula pesa ya Mzee Pwagu halafu siku ya sherehe ya kumtoa mwali Nyamayao katikati yard sherehe Muhogomchungu anamuiba mwali kwa kumbeba mgongoni na kumpelekea mkwewe Mzee Pwagu.
 
Post yangu ya kwanza nimeitaja Kaole kama kundi la mfano.

Jamaa walikuwa vizuri kwenye ku-spot talent na walikuwa na uongozi imara sana.

Kitu kingine walikuwa wanatoa nafasi kwa mtu anayedhihirisha uwezo.

Kwa kifupi unaweza sema hawa ndiyo engineer wakuu kwenye sekta ya movie na tamthiliya hapa Bongo.
 
mhogo mchungu masta kweli
 
Upo sahihi kabisa mkuu, bongo muviz wengi wamepikwa kaole
Post yangu ya kwanza nimeitaja Kaole kama kundi la mfano.

Jamaa walikuwa vizuri kwenye ku-spot talent na walikuwa na uongozi imara sana.

Kitu kingine walikuwa wanatoa nafasi kwa mtu anayedhihirisha uwezo.

Kwa kifupi unaweza sema hawa ndiyo engineer wakuu kwenye sekta ya movie na tamthiliya hapa Bongo.
 
Mimi nadhani kila mojawapo lili bamba kulingana na wakati wake, japo yote yalikuwa moto tena yenye mafunzo sana. Sio mapenzi mapenzi kama ya leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom