ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 1,057
- 973
Kama title. Inavyojieleza, baada ya wezi kunichapa system nzima sebuleni kwangu, nimeamua kujikongoja tena kinyonge Ku-restore vitu nilivyoibiwa.
Naanza na flat screen TV, uwezo wangu mwisho ni 32 inches tu. Naombeni ushauri kati ya brands nilizozitaja hapo juu ,ipi ni the best.
Uwezo wangu mwisho ni 650k. Hata kama kuna aina nyingine bora kuliko hizo tajwa, napokea ushauri, Thanks in advance!