kati ya kwenda college na PC ADVANCE KIPI BORA?

Jul 18, 2019
33
10
Habari zenu ndugu,,, nilikua naswali kidogo, kati ya kwenda chuo na kwenda advance kama private candidate..kipi ni bora?? Na je pc akifaulu vzur anapewa mkopo?
 
Habari zenu ndugu,,, nilikua naswali kidogo, kati ya kwenda chuo na kwenda advance kama private candidate..kipi ni bora?? Na je pc akifaulu vzur anapewa mkopo?
Pc sidhna kama atapewa mkpo
Pia,mchapuo gan kama n sayansi aende to collage akapige diploma za afya.......
Nursing
Medical.lab
Clinical oficer
Pharmacy
Karibu serikalini
 
Matokeo yake ni haya CIV C, GEOG C, KISWAHILI C, ENGLISH C, BIOLOGY C,HIST C, MATHS F..advance anatka akasome HGK
Pc sidhna kama atapewa mkpo
Pia,mchapuo gan kama n sayansi aende to collage akapige diploma za afya.......
Nursing
Medical.lab
Clinical oficer
Pharmacy
Karibu serikalini
 
Back
Top Bottom