Habari ya leo ndungu zanguni, Jackson hapa. Naitaji ushauli ndugu zangu
Hivi kati ya kujikita kwenye kilimo au kujikita kwenye kununua mazao kipi kinafaida kubwa? Na kipi kina risk kubwa?
Kwa maoni yako wewe kama wewe let’s say una mtaji wa 20M TZshillings unaweza kuwekeza kwenye kilimo au kwenye kununua Mazao? Thanks in advance!!