MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
Ipi mbele ya macho ya Mwenyezi Mungu inaruhusiwa na ipi ni pure " dhambi " isiyosameheka na Mwenyezi Mungu?
Kamari na bahati nasibu zina tofauti gani? mifano yake ni ipi pia?
Nitawashukuruni mno mkinijibu kwani kuna mtu nataka nimechezee ( nimtumie ) kama kichezeo changu cha moja ya hiyo michezo ili nijipatie pesa kutokana na kwamba nimepigika sana kiuchumi ila nilitaka kwanza nijue ni wapi nitapata dhambi zaidi ili ikiwezekana nijiandae kutubu.
Karibuni!

Last edited by a moderator: