emma wa yasinta
Member
- Feb 28, 2017
- 33
- 6
Hgk na hge
Soma zote mbili ni nzuri sana.Hgk na hge
Hahahaha mtu anasema mojawapo unasema asome zote mbili...!!!!Soma zote mbili ni nzuri sana.
Kiukwel kwa usaawa huu nampango wa kwenda jkt ila ndoto yangu ilikuwa kupiga mambo ya uchumi yan bachelorKwani wew ulikuwa na lengo gani????
Kwel Dada sema chuoni nitaenda baadae sana kuchukua bachelor ya uchumInategemea na malengo yako... Unataka somea nini chuoni baadae?
Ingekua ni mimi ningechukua HGE
Kwenye uchumi unataka uweje?? Uwe mwalimu wa kufundisha uchumi kwa baadaye au unataka tu kusoma kwa advance lakini hujui kama unataka kuwa nani???Kiukwel kwa usaawa huu nampango wa kwenda jkt ila ndoto yangu ilikuwa kupiga mambo ya uchumi yan bachelor
Eee broKwenye uchumi unataka uweje?? Uwe mwalimu wa kufundisha uchumi kwa baadaye au unataka tu kusoma kwa advance lakini hujui kama unataka kuwa nani???
Unataka kusoma tu advance?Eee bro
kazi kwelikweliUnataka kusoma tu advance?
Kwasas natakA nikwamie advance kwanza niende jkt ila kwa bdae niende chuo brooUnataka kusoma tu advance?
IPI kakakazi kwelikweli
Soma HGK, Sababu zangu:Hgk na hge
HGK. Ni nzuri sana. Kama umekuja na option ya arts tu maana ake b/maths hauko vema sana. BAM inatakiwa ukomae kweli kweli. Sio somo la kubeza. Komaa na HGK. Ila kama hisabati uko poa sikiliza uamuzi wako.Sawa kaka nashkuru na mm na sifa yakufanya kama mtahimiwa wa school candidate ila mtaala unanipin katika hkl ila kwa PC nauwezo ya kufanya hvyo kusoma comb zote hzo ushauri raisi
Asante sana kwa ushauri wko bro nimekuelwawHGK. Ni nzuri sana. Kama umekuja na option ya arts tu maana ake b/maths hauko vema sana. BAM inatakiwa ukomae kweli kweli. Sio somo la kubeza. Komaa na HGK. Ila kama hisabati uko poa sikiliza uamuzi wako.
Ni kwelli kaka nashukuru kwa ushauri broSoma HGK, Sababu zangu:
1.HGE utatakiwa usome pia na BAM, sasa kama wewe hesabu haipandi utakula F na ishtoshe inaongeza mzigo wa masomo
2.Ukisoma HGK unaweza kuwa na mzigo rahisi wa masomo