Kamati zote mbili teule zimetoa taarifa kwamba ACACIA wamekuwa wanafanya udanganyifu kwenye uwekezaji wao katika madini hapa Tanzania lkn Mh. Lisu anatetea kwa nguvu na akili zote kuwa ACACIA wako sahihi. Tunaomba wanasheria mtusaidie hili!
Ninatamani sana kuwe na kipimo kingine cha ufahamu zaidi ya kusoma na kuandika tu!. Ninadhani kuna haja ya kupima na kutoa alama kulingana na uwezo wa kuelewa.
Ni huzuni kubwa binadamu mwenyekichwa kushindwa kuelewa hoja za Lisu!. Lisu alitetea kwa bidii san akwamba msingi wa mambo haya ni ubovu wa mikataba. Anakwenda mbele zaidi na kuainisha kwamba wizi haukufanyika kwa michanga tu, bali hata makampuni ambayo yanakamlisha michakato yote hapa hapa bila kusafirisha michanga. Kumekuwa na wizi mkubwa kiasi kwamba taifa halipati manufaa sahihi ya madini yake.
Kwa wenye akili wattambua kabisa Lisu alichokuwa anakipigania ni kung'oa mizizi ya wizi badala ya kukata matawi ya juu yaani kulia na mchakato wakakti mikataba na kanuni zinatuhujumu.
Enyi binadamu mfanyweje ili vichwa vifunguke?
Wewe unaamua ku breach makubaliano bila ushauri makini wa kisheria unategemea kupata faida? unaweza kuwa dictator kwako lakini kamwe huna uabvu wa kuwa dictator dunia nzima.
Ubabe huo huo ulitumika kuzuia meli za wavuvi wa samaki, wakaitwa maharamia wa Magu, lakini kwa kuwa maamuzi hayakufuata sheria, tailfa lilinggia katika hasara ya kulipa mabilioni ya pesa.
Kukurupuka kunafuingiza katika hasarakubwa. Mweleweni Tundu Lisu hata kama ni kwa kujisomea makala zake usiku kucha hadi muloweke na miguu kwenye maji. Vingienvyo, mnayoyafanya ni aibu.
Kwa mtu mwenye akilitli timamu, anapashwa kuelewa kabila kwamba haya yote matumizi ya muda wa kazi, fedha za kuunda kamati, gharama za kamati ni matumjizi mabovu yafedha za umma kama si ujinga wa CCM kutumi aubabe kila sehemu bila kutumi akil.i.