Kati ya haya mawili , wapi nielekee ? Ufukara au ................

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Wewe unaesoma hapa, awali nitangulize neno - Hali yako my fellow member! .
Kisha nikuulize hivi :-
Wewe aidha ni Mkaka au Mdada uko na maisha ya kawaida, haya ya mahitaji makubwa kuliko kipato.
Ukikamilisha hili , lile bado, lile ukilikamilisha , mengineyo yameshajongea.

Panatokea mganga mtaalamu, ambae inathibitika kwamba akikufanyia mandingo UMASKINI na UFUKARA ulokua nao utakua baibai, kwa kukufanya wewe kua TAJIRI.

Lakini yote kwa yote liko SHARTI ambalo kwalo ulikubali ndiyo azma au ukitakacho kiwe.

SHARTI ni kwamba ili ufanikiwe UTAJIRI kama wewe ni Mkaka kuanzia siku unapewa ushefa hutotakiwa kufungua zipu ama mnaita ku'DO kwa maisha yako yote.
Aidha wewe ni Mdada sharti ni hilolo unakua Mult millioner na hutotakiwa kuguswa na mwanaume hadi ufe .
Wapi pa kuelekea between that two ways .
Naomba kutoa hoja.
 
Asante hali ni safi tu wikendi imetulia. mi mmama nakubali masharti nigawie changu nisepe.
 
Mamndenyi ! Ni hivi hii homework imekulenga wakati ukiitwa msichana! Kabla kile kischana chenyewe hakijaondolewa!
 
mbona simpo sana, kuguswa na mwanaume sio issue. me nipate utajiri tu. nikipatwa na naniliu napiga puli tu. . . hahahahaaa labda akataze hata puli au nafanya 4nsex namaliza!!!!!!
 
4nsex utaifanya na nani ? Na mdada mwenzio?
Na hilo puchu ama ni puli utalipiga through female imagination litatoa result ? Kwani uchuchaji nafaka kupitia mvutohisia wa gender tofauti na mhusika nao uko shartini !
Aidha kwa kuukubali huo ushefa ndo kusema kitu mimba kwako kitakua hadithi ya kasadikika! Hiyo mimali ukijadedi unamuachia nani? Ikute parents walishaRIP ?
 
Judgement kwa mujibu wa masharti umesema kuguswa na mwanaume, kwan puchu lazma mwanaume? naeza pga alone. na 4nsex hugusan na mwanaume ati!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Nafahamu haya yote uloyasema yanaendana na kutoguswa na ME bt hayaendi bila KE kuvuta hisia ya ME na ME kuvuta hisia ya KE.
4nesex unaweza ukamaliza na KE mwenzio ? "Hal.imaMD.ee!!?" na unielewe masharti hayakubali ujipuchu kwa imagination ya ME na mwanaume kinyume chake.
 
kumbe hv, basi haina shda mbna watawa / masista wanasurvive? km ndo hvo nakubali. hapo mwendo wa kula bata tu. ku-do hakuna mashiko!!!!!! pesa kwanza
 
Duuhh!!
Una liroho ligumu! Mavumba yasiyosanjarika na malavi ! Shughuli ujue ?
 
:biggrin1: bora nibakie na umaskini wangu...eti usi do for the rest of your life..sa hizo hela za kazi gani hata nikipewa?
 
Heri nibaki na umaskini wangu.
Achana na kitu penzi,
ndo mpango mzima duniani hapa.
 
Nibaki maskini tu!
Yan nisimguse baby wangu Madame B!
Hacha mchezo kabisa!
Wewe unaesoma hapa, awali nitakungulize neno - Hali yako my fellow member! .
Kisha nikuulize hivi :-
Wewe aidha ni Mkaka au Mdada uko na maisha ya kawaida, haya ya mahitaji makubwa kuliko kipato.
Ukikamilisha hili , lile bado, lile ukilikamilisha , mengineyo yameshajongea.

Panatokea mganga mtaalamu, ambae inathibitika kwamba akikufanyia mandingo UMASKINI na UFUKARA ulokua nao utakua baibai, kwa kukufanya wewe kua TAJIRI.

Lakini yote kwa yote liko SHARTI ambalo kwalo ulikubali ndiyo azma au ukitakacho kiwe.

SHARTI ni kwamba ili ufanikiwe UTAJIRI kama wewe ni Mkaka kuanzia siku unapewa ushefa hutotakiwa kufungua zipu ama mnaita ku'DO kwa maisha yako yote.
Aidha wewe ni Mdada sharti ni hilolo unakua Mult millioner na hutotakiwa kuguswa na mwanaume hadi ufe .
Wapi pa kuelekea between that two ways .
Naomba kutoa hoja.
 
Nibaki maskini tu!
Yan nisimguse baby wangu Madame B!
Hacha mchezo kabisa!

Ndo hapo ninaposhangaa Rutta wangu.
Raha ya wawili kupendana na kufaidi raha pamoja.
Sasa tukishapata utajiri,tutafurah vp?
Bora tubaki na Umaskini wetu.
Pesa upatazo kwenye kazi yako zinatutosha beib wangu.
Si unajua you're my number 1?
 
kweli kabisa
umeongea kila kitu wangu!
Mwaaaaaaaah!
 
Back
Top Bottom