Kati ya hawa wasanii nani ni mkali wa kuandika ngoma kali?

Acha utani mkuu, mbosso,huwez mfananisha na huyo hata kidogo, ingekuwa mtayarishaj wa vipind ushafel, mbosso ana heshima yake kwenye game
Kivipi mkuu kwani yeye ni nani hasa kupita huyo mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…