Sasa sikia nikushauri dada Unique Flower kipenzi,, ila kabla sijakushauri uniambie kwanza shoo ya yupi uliielewa kati ya hao wote🤔🤔..usije ukauziwa mbuzi kwenye gunia dadangu😌😌
Eh alikuja kujenga ghorofa la serikali 2015 alikuwa msimamizi so tulipendana tukapotezana mawasiliano so mwanzo wa mwezi huu nikamwona tena facebook ila bado hajaoa
Sijawaha na wote jamani ni watatu hao wengine nimeweka if nikisema yes . 1. Mmalawi , Mkenya , MChina basi wengine wanasema yao tu nanimeelewa niko njia panda