Wewe ndio hujaeleweka. Umeuliza as if tunazijua sifa za kila mmoja kwenye hao uliowataja. Anyway, orodhesha sifa za kila mmoja watu wang'amue yupi anaekufaa
Wewe ndio hujaeleweka. Umeuliza as if tunazijua sifa za kila mmoja kwenye hao uliowataja. Anyway, orodhesha sifa za kila mmoja watu wang'amue yupi anaekufaa
Watampa majibu lakini hayatokuwa sahihi kwa upande wake. Licha ya utaifa wa mtu ila kila mmoja ana sifa na tabia binafsi. Watakaosema wameolewa na mwarabu haitamaanisha itakuwa applicable kwake pia sababu sifa za mwarabu tajwa hazitakuwa sawa na za mwarabu wake
Yote uliyotaja hayaendani/hayategemei na asili zao, bali hutegemea na mhusika binafsi na makuzi yake vs personality yake. Pia hakuna perfect husband vs wife.
MUHIMU:
1: Ungana na yule mwenye mazuri yake na makandokando utakayoweza kuyapokea.
2: Ungana na yule ambaye mazuri yako na makandokando yako ataweza kuyapokea.
3: Pamoja na yote, wote muwe tayari kujifunza kati yenu na kupata uwanja sawa ndani ya maisha yenu/ common ground.