Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Wote wanafaa chukua tu aina shida!Kuolewa na hawa wafuatao,
A. Muarabu
B.Mzungu
C.Mchina
D. Mkongo
E. Muhindi
F. Mkenya
G. Mmalawi
H. Uganda
Kwa uzoefu wenu yupo ni tiki?? Atakuwa mvumilivu, muelewa , anajali, anatunza , anatambua familia yake .
Kuolewa na hawa wafuatao,
A. Muarabu
B.Mzungu
C.Mchina
D. Mkongo
E. Muhindi
F. Mkenya
G. Mmalawi
H. Uganda
Kwa uzoefu wenu yupo ni tiki?? Atakuwa mvumilivu, muelewa , anajali, anatunza , anatambua familia yake .
Wakapige 9 some
Olewa na Mwarabu mama, ukipita mitaani choo kikubwa kinakutoka bila habari. Bora uumwe fistula ieleweke mojaKuolewa na hawa wafuatao,
A. Muarabu
B.Mzungu
C.Mchina
D. Mkongo
E. Muhindi
F. Mkenya
G. Mmalawi
H. Uganda
Kwa uzoefu wenu yupo ni tiki?? Atakuwa mvumilivu, muelewa , anajali, anatunza , anatambua familia yake .
Wa kanisa gani?I MLOKOLE
most correct answer I
DAh😤🥱Hivi we bibie,huwa uko timamu kweli?
All of the above....😂Jibu la swali lako liaendana na swali hili, Je mbwa huyu amesimama, amelala au amekaa ?
View attachment 2703155
Hujui namaanisha nini kazi kihere here kaa aisha wa buzaIla huyu nae huwa anakitembeza...😅
Ndio uko hivyo kuuhalisiaSisi wanaume wote duniani baba mmoja mama mmoja so akili kichwani mwako.