Naulizia kuhusu kozi ya environmental science and management, naomba kujuzwa kuhusu faida za kusoma kozi hii..maana nipo dilemma kati ya kozi hiyo na engineering ya umeme