Kati ya civil eng na telecommunication eng

kinota

Member
Feb 8, 2012
41
3
Wadau jamii family ma eng na watalajiwa eng naombeni mchango wa mawazo
kuhusu mada tajwa hapo juu.nawakilisha
 
hiyo tele kwa tanzania ni utata mtupu sio tu kwenye ajira hata kwenye ufundishaji kwa maoni yangu nenda civil engneering na ka utapendelea kukomaa na hiyo tele fanya juu chini ukasome kwa wale wahindi wa ST JOSEPH UNIVERSITY ni wa zuri kwenye masula hayo
 
mm nakushauri nenda telecom coz is new course so haina expert weng kama civil..... civil imeanza kufundishwa tanzania long time hata mzee wa miaka 65 wanayo hiyo talum.... bt telecom ni mpya wenye taluma hiyo ni vijan 2 so hapo hakuna swal la uzoefu hapo ni akili 2
 
nashukuru wakuu, mm nimechaguliwa st.joseph telecom eng so kuna brother akanishauri nibadili coz niende tel
kabla sijafanya uamuzi nikaona nishilikishowana jamii,mchango wako ni muhimu kwangu
 
nimetokea kuvutiwa na civ bada ya kufafanuliwa maeneo ambaya inaweza kuapli lakini sijapa mtsu wa kuni
elezea kwa undani juu ya tel so ningependa kama kuna mwana jamii anaefaheamu kwa undan,ningependa unijuze
ili nifanye maamuz sahihi ndugu zangu
 
PIGA telekom wewe civil haina dili, nna binamu yangu alipiga masters ya civil US, akaja bongo kahangaika wee mpaka akaenda ujerumani tena kupiga masters nyingine ya finance so telekom itakutoa lkn civil hahahha bongo hii sijui
 
Nenda Civil coz ipo wide! Telecom ipo chache sana makampuni yenyewe hayazidi 10.

Bora umemwambia ukweli...miaka yetu ilikuwa ufahari kusoma elctrical engineering na kwa kweli watu waliofaulu vizuri sana walitaka kusoma electrical engineering sababu ya nafasi za kazi kwenye telecom companies. Miaka kadhaa toka tutoke chuo, civil engineers walio wengi wako vizuri tena wamejiajiri kuliko hao electrical engineers. Kwangu mimi leo kama ninataka kumshauri mtu basi asome civil engineering. Ingawa ingekuwa ni mimi, ningeshindwa civil ningesemoa mechanical engineering. Time will prove me right or wrong but those two will have alot to do in this economy.
 
Back
Top Bottom