habari ndugu nzangu wa jamii f.
bado ninaangaika katika harakati zangu za kujifunza programing.
naomba kufahamishwa ,hivi ni language gani nzuri kwa mtu anayeanza kijifunza programing from the scruch kati ya C++,C# na JAVA ? naomba msaada kaika hili au hata kama kuna language nyingine kwa begginer kuanzia naomba nifahamishwe .
kwa sasa nime-download kitabu cha ''c++ a begginer's guide(2[SUP]nd[/SUP] edition) sijaanza kukisoma ila ila nimepitia kidogo na nimeona jamaa amehusianisha C++ na C# na JAVA.
mwongozo wakuu
NB ; C6 nawe nakutazamia utakuwa mmoja wa watu watakaonipa mwongozo katika hili.
youtube to itunes converter