M mandingo6262 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 424 Reaction score 83 Jul 16, 2013 #1 Habari zenu wana jamvi, nakuja kwenu kujaribu kupata mawazo yenu. Kuna track mpya ya amini na barnaba inaitwa why mimi nimejaribu kuisikiliza na wenzangu ila imezuka mabishano kwamba nani kamfunika mwenzake. Naomba kura zenu wadau?
Habari zenu wana jamvi, nakuja kwenu kujaribu kupata mawazo yenu. Kuna track mpya ya amini na barnaba inaitwa why mimi nimejaribu kuisikiliza na wenzangu ila imezuka mabishano kwamba nani kamfunika mwenzake. Naomba kura zenu wadau?
believer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2012 Posts 639 Reaction score 216 Jul 19, 2013 #2 Ru-gay zaid
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,908 Reaction score 7,112 Jul 19, 2013 #3 wote pumba