Analyse ni mkali kwa sabb anajua kutumia njia ya mkato kweny hadithi na ikaeleweka vzuri kabisa.Inakuwaje wanaJamiiForums
Kutoa appreciation ni jambo zuri hususa kwa yule mtu ambae amejitolea kutoa simulizi bila ya malipo yoyote lengo tujifunze, tuburudike, tuonyeke na vinginevyo
Wote ni wakali ila yupi ni mkali zaidi kwa upande wako?
Jana saa saba usiku nilijikuta nacheka sana. Aposto mtu sanaWote wakali ila Analyse ni zaidi story zake zinachekesha sana
Aposto anachekesha, hadi nimewasimulia wazee, kila siku wanauliza muendelezo Analyse umepata fans wapya🤣🤣🤣Jana saa saba usiku nilijikuta nacheka sana. Aposto mtu sana
Labda kwa chai ,stori ya Safari ya Lindi niliifuatilia kwa umakini nikivyofika kipande cha kupigana wezi nikajisemea moyoni kuwa nitakuwa mpuuzi kuendelea kufuatilia episode zijazo bora angesema kuwa ya kutubga tokea mwanzo.mpwayungu ni noma yule jamaa
Kwenye kuzoa mchanga nilicheka sanaJana saa saba usiku nilijikuta nacheka sana. Aposto mtu sana
Tofauti ni moja tu mmoja amesoma na mwingine ajasoma sana...story zinajieleza kupitia maneno mpangilio wa visa, lugha fasaha, matumizi ya alama za lugha na kadhalika.Inakuwaje wanaJamiiForums
Kutoa appreciation ni jambo zuri hususa kwa yule mtu ambae amejitolea kutoa simulizi bila ya malipo yoyote lengo tujifunze, tuburudike, tuonyeke na vinginevyo
Haya masuala ya tunzo naamini kwao sio lengo kwao hasa ukizingatia yameanza juzi tu
Kama wew ni mtu wa kufuatilia mikasa huwezi kukosa kuwajua watu hawa Analyse na UMUGHAKA
Naweza sema hawa jamaa kwasasa ndio best story teller haijalishi iwe uhalisia ama sio ila uandishi wao, namna ya kuhadithia, upangiliaji wa matukio unaona kabisa kuna upekee ndani yao, inafika hatua hadi watu wanakuwa na addiction na story zao[emoji23][emoji23]
Wote ni wakali ila yupi ni mkali zaidi kwa upande wako?
Aliniacha hoi walipoamua kumbeba mpaka kwenye gari, yani kama nilikua namuona japo hata simjui.Kwenye kuzoa mchanga nilicheka sana