Al Zagawi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,621 Jul 8, 2012 #21 RIP Kati!
N nyabwai Member Joined Apr 2, 2012 Posts 44 Reaction score 16 Jul 9, 2012 #22 Babu Ubwete said: RIP . Umefika wakati sasa hiyo kazi ya PR hapo Barclays apatiwe mtanzania na sio mkenya wala mzimbabwe kwani tunahitaji ajira kwa watanzania. Click to expand... Kati Kerenge ni Mtanzania halisi. Marehemu baba yake alikuwa Mjita kutoka Musoma na mama yake ni Muhaya kutoka Bukoba
Babu Ubwete said: RIP . Umefika wakati sasa hiyo kazi ya PR hapo Barclays apatiwe mtanzania na sio mkenya wala mzimbabwe kwani tunahitaji ajira kwa watanzania. Click to expand... Kati Kerenge ni Mtanzania halisi. Marehemu baba yake alikuwa Mjita kutoka Musoma na mama yake ni Muhaya kutoka Bukoba
Dickson Ng'hily JF-Expert Member Joined Oct 22, 2010 Posts 473 Reaction score 508 Jul 17, 2012 #23 R.I.P Kati...Nakumbuka mwaka 2009 tulikuwa wote kwa ziara ya Tanga Cement......Pole familia..
M Msavila JF-Expert Member Joined Jul 25, 2007 Posts 426 Reaction score 69 Jul 19, 2012 #24 Huyu binti hakuwa Mkenya bali Mtanzania, Mjita, mama yake ni Mnyambo. Baba yake ni the late Dr. Esrom Kerenge mtoto wa Mzee Jeremia Kernge wa Barabara ya Uhur Musoma mjini!!!
Huyu binti hakuwa Mkenya bali Mtanzania, Mjita, mama yake ni Mnyambo. Baba yake ni the late Dr. Esrom Kerenge mtoto wa Mzee Jeremia Kernge wa Barabara ya Uhur Musoma mjini!!!