Katendwa ndo ananiona wa maana

nyokuder

New Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Alinipa sababu zote za kunifanya nimpende na nilimpenda kwa kwel tatizo likaanza baada ya kuingia kwenye mahusiano kumbe alikua na mwanamke mwingine aliempenda zaid baada ya kugundua hilo niliumia sana kwa kua nilimpenda niliamua kuvumilia huyo Dada yy alikua mkoa mwngne ila wakawa wanawasiliana kawaida ilikua inaniuma sana nilikua nalia siku nikapungua name uzito kwa mawazo uvumilivu ulinishinda niliamua kumwambia yule mwanamke wake km jamaa ana m2 mwingne huku (cunajua tena wanawake 2livyo)alinijibu endelea nae cna mda nae jamaa alipogundua alikasirika kwa nilichokifanya akawa hapokei cm yangu basi mile hoi na presha juu nikaapogise yakaisha cku kadhaa akapata safar ya kikazii njee ya mkoa nilikua najua km atarud cku gan cku iyo kumbe ilikua cku ya majanga yule mwanamke alinipgia cmu nipo na bwana ako I fainted ki ukwel baada ya hapo ckutaka tena kuwacliana nae ila nnachojua aligundua yule alijifanya anampenda sana hakua mwaminifu kwake ana wanaume zaidi yak thaman yangu anaiona baada ya kutendwa ucku mchana anapga cm text inbox full anaomba kumake up 4the bad things alizofanya I can't stand him kwa kweli
 
Pole! Hayo yalikuwepo, yapo na yatakuwepo. Mungu ndio kimbilio sahihi!
 
Aiseeeeee......kweli ulimpenda huyo jamaa lakin hakuthamin pendo lake,piga chini na nnajua yeye ndo ataumia mara 2 yake
 

ukimkubalia tu usije tena hapa jf kulialia sawa..
 
Msahaau,wadada msipende kuwa spare tire.
 
Aiseeeeee......kweli ulimpenda huyo jamaa lakin hakuthamin pendo lake,piga chini na nnajua yeye ndo ataumia mara 2 yake
mwambie akiona vipi mi nipo free tu aje beibe nimpe mahabati..
 
Kwakua umeanza na falsafa ya kula makombo nakushauri endelea nayo,usiiache wakati ushindi unakaribia
 
Inaonekana ulimpenda sana huyo mwanaume. Mbona tuko wengi sana mdogo wangu. Wewe songa mbele na maisha yako utapata mtu bora kuliko huyo.
 
Hivi kweli weye ulizimia au ulisikia kidhungu dhungu tu. Kama ulizimiaga kweli usitikise kiberiti. Amini kuwa sasa kajua mbivu na mbichi. Amejua kuwa pendo la kweli atalipata kwako. Yule mwanamke alikupigia kukukomesha weye tu.
Na amekupata kweli. Sasa huna hamu na jamaa wakati jamaa ndio amerudi kwako mazima. Nikuambie kitu, huyu jamaa hatarudia kosa.
Mpokee, msamehe, fungia chumbani. Advertise ya kwanza, akiingia tu kung'uta kila kitu mfukoni, mwambie ni adhabu ya alivyokusababisha ukazimia. Kama atapiga kelele mwambie auone uso wako kama kituo cha polisi. Hakufai, akinyamaza na kuomba nauli tu, basi umempata. Kimbiza haraka kafungeni ndoa takatifu usiishi kwenye dhambi ka mwizi.
 
Huu ndio muda wa kujenda mapenzi ya dhati kwa sababu amesha jifunza kutokana na tamaa zake.
Wewe msamehe tu kutenda kosa ndo kujifunza kila binadamu anakosea, amesha jua alichokosea ndio maana amerudi kwako,ni muda wako sasa na wewe wa kuyamaliza yale machungu ulio yapata wakati ule yuko kwa fulani, usikubali chozi lako ulilokuwa unamwaga kwa ajili yake liende bure kesha jirudisha mwenyewe tunduni, umevumilia kuchangia sasa amebaki mwenyewe ndio unaona haifai tena, migogoro katika mahusiano inajenga na ni kawaida tu.
 
[MENTION]
Mpendwa songa mbele, usiangalie nyuma utalia zaidi ya hapo.
Usiyarudie matapishi uliyotapika!!!!

[/MENTION]
 

alikua = alikuwa?
ilikua = ilikuwa?
hakua = hakuwa?

kua (grow) =kuwa (to be)????
 
Aiseeeeee......kweli ulimpenda huyo jamaa lakin hakuthamin pendo lake,piga chini na nnajua yeye ndo ataumia mara 2 yake

:hand: Tatizo sio kuumizana ishu ni ku-make things better..

Ushauri,
kuwa makini na hili jukwaa

Wengi humu sio expert wa mapenzi wala mahusiano hivyo sikiliza haja ya moyo wako

Usiumize mtu at the same time na wewe unaumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…