huwa najiskia huzuni mnoo na simanzi pindi nisomapo taarifa kama hizi ..kisha minute kuwa mtesi wa marehemu alikiwa ni mwanaume..
huwa naona kama jinsia yetu inadhalilishwa Hivi namijitu isiyojitambua nakutufnya tushindwe kupewa heshima inayostahiki...
manina zake Hugo Boda Boda ..naamini kwa uwezo wa mungu siku tatu hatozimaliza ..atakuwa mikononi mwa vyombo vya usalama..
pumbafu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.