KATAVI: Mke adaiwa kumuua mumewe na kumfukia kwenye shimo la kuchomea mkaa

Wanaume sahv tumepigwa 3-1

Ova
kikao.png
 
Huyu mama ni mzembe na mjinga sana !!! Issue itakiwa afanye hiviiiii
1) atafute mganga afunge shamba lisiuzike kabisa!!!
2) kama vipi angefuta network ( erection) ya hicho kidume
3) ange mpeperusha huyu kimada ahame mji
Mambo madogo sana hayo badala ya kuua sijui watu mnakwama wapi!!! Pesa sina,mkwara sina !!! Hata kuloga hujui!?? Wewe wanini hapa duniani!?
 
Back
Top Bottom