Leo najaribu kupanda basi hili la Katarama....
Kwa mjibu wa tiketi bus lilitakiwa kuondoka Mbeya saa 9... hadi sasa ni saa 9:50! Na hakuna dalili zozote kama bus hili litafika toka Tunduma.
Kwa waliowahi kupanda bus hili tokea Mbeya naomba ushauri wenu. Aidha hizi safari za transit hapa Tz huwa vipi?