Katambi: Nchi jirani zinachochea machafuko ili tushuke kiuchumi

Hizi ni porojo nyingine zisizo na mashiko hata kidogo. Na hapo utakuta ni Kenya ndiyo inapigwa mawe gizani, huku miezi michache tu iliyopita Rais wake alikuja na kuzungumza na mihimili miwili ya nchi (serikali na bunge)!
 
Dah! Hadi aibu naona mimi, huyu ni waziri kweli?

Hakika tuna safari ndefu ya kufikia nchi ya ahadi
Fikiria kama angebakia George Simbachawene kwenye hiyo nafasi, angeweza kuropoka ropoka tu hovyo kama huyu Katambi? Mwisho wa siku utagundua tatizo halipo kwake, isipokuwa yule aliyemteua.
 
Katambi amekuwa boya kweli, yaani ccm imeahindwa kazi wewe unasingizia nchi jirani. By the way, mbona wanajeshi wa kiganda wanajivuna sana kwamba mliwaleta wakauwa watanzania via kutisha. Useless. Mtakosana na Kenya si muda mrefu, na Kenya ni mafundi wa kuharibu. TV zao zitaungana na watu wenu wa ndani. Naiona East African Community ikiwa imevunjika kwa kauli za akina "Kitambi" ambao ni maafsa Vipenyo ambao hawajui diplomasia. Wanaropoka tu
Katambi Kama ni kitengo basi hamna kitu
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema baadhi ya nchi jirani zinachochea machafuko nchini kwa lengo la kudhoofisha uchumi wa Tanzania

Vita ya kiuchumi ni kuchocheana nyie wenyewe mpigane bwana wakubwa waje kuchukua rasilimali."

"Mimi msingi wangu uko sehemu moja nasimamia ulinzi na usalama na amani ya taifa ulinzi wa raia mmoja... ulinzi wa raia na mali zao

Tumetoka kwenye corona hatukushuka kiuchumi. Tumetoka kwenye kufiwa na rais akiwa madarakani hatukushuka kiuchumi... bado tumeendelea kutoa ruzuku kwenye mbolea tumetoa ruzuku kwenye pembejeo za kilimo."

Soma Pia: Katambi: Nipo radhi kupoteza nafasi yangu lakini sitakuwa tayari kuona amani ya Taifa hili inavunjika

Kwa mfano ndugu yangu unajua kuna ndege sasa hivi... waliponda sana hizi ndege lakini ndio wa kwanza wamo mle ndani na wanalala usingizi

Illegitimate minister talking crap representing the Illegitimate government.
 
Hivi hajui DRC inakuja kwa Kasi? Muda sio mrefu watatupita kwa Kasi. Ni vita tu vinawazingua.
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKA.
 
Sema Jamaa huwa unajaza serva za Jamii Forum.

Uwe unaangalia vitu vya kuweka hapa, Ujifunze kutofautisha Pumba na Ngano..

Muda ni Mali
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema baadhi ya nchi jirani zinachochea machafuko nchini kwa lengo la kudhoofisha uchumi wa Tanzania

Vita ya kiuchumi ni kuchocheana nyie wenyewe mpigane bwana wakubwa waje kuchukua rasilimali."

"Mimi msingi wangu uko sehemu moja nasimamia ulinzi na usalama na amani ya taifa ulinzi wa raia mmoja... ulinzi wa raia na mali zao

Tumetoka kwenye corona hatukushuka kiuchumi. Tumetoka kwenye kufiwa na rais akiwa madarakani hatukushuka kiuchumi... bado tumeendelea kutoa ruzuku kwenye mbolea tumetoa ruzuku kwenye pembejeo za kilimo."

Soma Pia: Katambi: Nipo radhi kupoteza nafasi yangu lakini sitakuwa tayari kuona amani ya Taifa hili inavunjika

Kwa mfano ndugu yangu unajua kuna ndege sasa hivi... waliponda sana hizi ndege lakini ndio wa kwanza wamo mle ndani na wanalala usingizi

Mwanzoni mlisema vyama vya upinzani vitaleta vurugu na vita nchini. Leo mnasema nchi jirani
. Hamna jipya mmeshindwa kuongoza nchi ondokeni madarakani wake wengine wenye uwezo
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema baadhi ya nchi jirani zinachochea machafuko nchini kwa lengo la kudhoofisha uchumi wa Tanzania

Vita ya kiuchumi ni kuchocheana nyie wenyewe mpigane bwana wakubwa waje kuchukua rasilimali."

"Mimi msingi wangu uko sehemu moja nasimamia ulinzi na usalama na amani ya taifa ulinzi wa raia mmoja... ulinzi wa raia na mali zao

Tumetoka kwenye corona hatukushuka kiuchumi. Tumetoka kwenye kufiwa na rais akiwa madarakani hatukushuka kiuchumi... bado tumeendelea kutoa ruzuku kwenye mbolea tumetoa ruzuku kwenye pembejeo za kilimo."

Soma Pia: Katambi: Nipo radhi kupoteza nafasi yangu lakini sitakuwa tayari kuona amani ya Taifa hili inavunjika

Kwa mfano ndugu yangu unajua kuna ndege sasa hivi... waliponda sana hizi ndege lakini ndio wa kwanza wamo mle ndani na wanalala usingizi

Kwamba Tanzania inaonewa wivu kiuchumi 🤣🤣🤣🤣
 
Sii tunafanya kujiibia wenyewe ili tutajirike wenyewe acha tushuke kabisa ili wezi na mafisadi wajisifu kuwa wao matajiri
 
Back
Top Bottom