Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,879
- 3,307
- Thread starter
-
- #81
Naiongeza kwenye uziMkuu Count Capone nna jambo la kushare kulingana na mfumo tulionao na tunaendelea kuishi nao.
Kwa wenye imani dini hasa ya kikirisito wanajua kuwa NDOA ni jambo jema na nimipango ya mola kufanya iwe hivyo.
Baada ya uumbaji mzee Adam alipewa jiko (bihawa) na kumwambia enendeni mkaitunze dunia na kuzaa pia huku mkiwa na Upendo kati yenu.
Baada ya hapo hadi leo kumekuwa na mparaganyiko, vikao vya kimataifa ikazaliwa (Beijing women conference) ikaja na agenda motomoto ambazo leo zinataka 50/50 na hiyo fifty-fifty imezaa wajukuu wanaolelewa kwa kuambiwa wanawake tunaweza tukiwezeshwa bila chenga.
Leo kitukuu kina nguvu na uwezo kinaamua sitaki kuishi na mke/mume hata mimi naweza kujimudu, isipokuwa Mwanamme hawezi kubeba mimba ila huyu wa 50/50 anaweza kubeba tena siyo lazima mimba iwe na baba.
Kwa nini NDIYO au HAPANA kwa Ndoa, matatizo yaliyopo ndani ya Ndoa yanapelekea vijana wengi hasa sa kike kuichukia ikiwemo uvumilivu na kusamehe, vifo na majanga yatokanayo na ndoa imewafanya wengi kuepa kuoa na kuolewa, taasisi za gizani, hidden societies zinazosimamiwa na NGO's zinasimama kuharibu mahusiano mazuri yaonekane ni ya ovyo.
Baadhi, ndugu, taasisi na wazazi nao wanasimama kuharibu mahusiano ya wanandoa, wanasahau NDOA ni one the biggest Institution inayoweza kuharibu na kuijenga dunia.
Mkuu kweli ndoa zina matatizo lakini tutaleaje watoto wetu bila ndoa?Kitu mpka inapigiwa kura ? Bakini na ndoa zetu wakuu , ila kwngu no.
Haya maneno yaandikwe kwenye Katiba mpya!🔨
Ongeza sauti 🔊 kule nyuma wamelala
What happened mkuu?Mkuu hilo swali jiulize ww nina miaka 28 nalea watoto wangu sita bila mama zao wa kuwazaa
Ufike wapi mkuu walio kwenye ndoa wabaki huko ambao bdo wajue kuna shida na hasra ili wakiingia wasije lia lia huku .What happened mkuu?
Sasa pata picha kila ME angelea hivyo tutafika kweli?
Ndoa Ni wizi
Tunza Afya yako ya akili
Maana tuliambiwa tuishi nao kwa akiliMwanaume kama huna akili ndiyo huwezi kuoa.
Kwanini unatukana watu wanaojitambua ambao hawataki kukaa Sehemu Chafu.Wasiotaka oa au kuolewa ni mashoga
Mimi Sina ndoa Mkuu na sihitaji MwanamkeWewe umeoa wewe unadanganya wenzio
Mimi Sina ndoa Mkuu na sihitaji Mwanamke
Hakuna chochote wanachofaidi zaidi ya mateso kuuana akiliBas utamu wa ngoma ingia ucheze ndio utajua kucheza