Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,720
- 9,940
Wanawake wa siku hizi hawapo tena?😅Shida wanawake wa hivi siku hizi hawapo..
Mkuu hata wewe hutaki kuolewaBro ukioa wewe inatosha, acha watu waishi vile wanavyopenda na kutamani....ilimradi hawavunji sheria
Halafu ni siku za mwisho Paulo naye anashauri wabaki hivyo hivyoShida wanawake wa hivi siku hizi hawapo..
View attachment 3698016
Sitaki kuoa wala kuolewaMkuu hata wewe hutaki kuolewa
Kuna shida gani ukizikwa kama kibudu?2.Utakufa na utazikwa kama kibudu
Shida kataq ndoa wote ukiwauliza wanakwambia hawajawahi ingia kwenye ndoa. Wanasikia tu stori za vijiweni mara ndoa haifaiKataa ndoa wataongezeka sana kwasababu ya imani iliuojengeka kwamba ndoa ni paradiso au kaburi la kidumu losilo na mabadiliko!
Kumbe ndoa ni mchakato wa matazamio kama mnaweza zeeka pamoja au lah na sio hitimisho kuu la maisha ya mtu!!
Dini na Imani zote ndio zimetufikisha kwenye hii shida!!
"Ndoa ni matazamio ya matching na sio mwiko au msimamo mkuu wa kudumu kwenye maisha"
Ukiona matching imeshindikana,ulienae anadhani maisha yatakua mazuri bila wewe!unamuacha aende TU kiroho safi na hakuna haja ya vikao na kutupiana maneno!just mwache akatafute changamoto mpya anayoiona inafaa na achana nae!
No memoryKuna shida gani ukizikwa kama kibudu?
Inawezekana wewe ndiyo Mtoto, Ukikua utaacha huu utotoNajua ni utoto unakusumbua tu ukikua utaelewa namaanisha nini hapa. Endelea kujisevia malaya wageuze uwezavyo kwa style zote upendazo. Kumbuka utazeeka macho yako hayataona nuru tena na mikono itakuwa imechoka na hapo utahitaji msaada hutaupata.
1.Utaugua na utakosa hata mtu wa kukugeuza
2.Utakufa na utazikwa kama kibudu
3.Hakuna alama yoyote utaiacha hapa duniani maana huna mwendelezo wa kizazi chako
Mkuu baharia 1 ebu njoo uwaambie maana mi nimechoka