Kataa Ndoa, huyu hapa ndugu yenu

Kataa Ndoa, huyu hapa ndugu yenu

Wagumu Tunadumu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2022
Posts
7,592
Reaction score
23,209
Mwarabu Hemedyphd anasema ndoa sio kitu anachokiamini katika maisha yake na yupo tayari kuishi miaka 100 na mwanamke lakini asimuoe/wasioane.

Akipiga story na #PlanetBongo ya @eastafricaradio amefunguka 👇

"Katika maisha yangu kuna vitu vitatu vikubwa ambavyo sio ndoto yangu, cha tatu ni hiyo kuoa. Siamini ndoa, sifagilii na sifurahii, ukinifuata kama mshkaji unataka kuoa sikushauri"

"Nipo tayari kuishi na mwanamke hata miaka 100 lakini kipengele cha ndoa kisiwepo"

Screenshot_20250714-183220_Facebook.jpg
 
View attachment 3405880
Asioe mwanamke ila aoe mwanaume! Hapo sawa !
 
Kwahiyo Bora aoe mwaname sio??🥲

Awaache waoane,
Mwanaume kutokukuoa wewe haimaanishi kwamba mbadala wa maamuzi yake ni kuoa mwanaume mwenzake, nyie wanawake wa kisasa mna reasoning mbovu sana... yaan mtu akifanya maamuzi yasiokupendeza wewe unaanza kufanya assumptions za ajabu ajabu tu hili kufiti mitazamo yako.

Anyway, kwa aina ya wanawake tulionao ambao wengj wana reasoning na fikra mbovu kama zako, naona jamaa yuko sahihi kutokuoa.
 
Back
Top Bottom