educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 403
- 465
Je unateseka na kitambi sugu/manyama uzembe na umetumia dawa kadhaa na haijsaidia? Basi usihofu jiunge nasi saa 12:15 asubuhi pale mlimani city mall (geti la kuelekea Survey/Chuo Kikuu kwa ajili ya jogging mpaka uwanjani UDSM/Chuo na kurudi mlimani city muda ni kati ya dakika 30 mpaka 45. Hakuna kiingilio cha pesa ni kwa ajili ya kuimarisha afya zetu.
Kwahiyo wakufwate wewe?huko mbali njooni huku kawe
Mkuu bado unapiga jaramba la Jogging au ulishastaafuJe unateseka na kitambi sugu/manyama uzembe na umetumia dawa kadhaa na haijsaidia? Basi usihofu jiunge nasi saa 12:15 asubuhi pale mlimani city mall (geti la kuelekea Survey/Chuo Kikuu kwa ajili ya jogging mpaka uwanjani UDSM/Chuo na kurudi mlimani city muda ni kati ya dakika 30 mpaka 45. Hakuna kiingilio cha pesa ni kwa ajili ya kuimarisha afya zetu.
Aisee nimeamua kupigia home kwangu tu (uwani). Maana nilikutana na vibaka watano na mapanga wakanitaiti kwenye pori (la akiba) la chuo, karibu na klabu ya udasa. Nilipopata upenyo nilitimua mbio mpaka kule shule ya msingi ndo ilikuwa pona yangu. Maeneo ya Chuo si salama wandugu hasa kukiwa na giza. Mazoezi yanaweza kukutokea puani.Mkuu bado mnafanya nimehamia mitaa hii aiseee
Okaysisi tuko watano,tunaanzia mabibo hostel saa 11 alfajir to mlman cty then tunazunguka chuo tunatokea geti maji tunarud mabibo hostel,hapo ni saa 12 tunafanya mazoefu ya viungo afu tunatawanyika.karibuni.
Pole ndugu. Japo inasikitisha pia inachekesha kiainaAisee nimeamua kupigia home kwangu tu (uwani). Maana nilikutana na vibaka watano na mapanga wakanitaiti kwenye pori (la akiba) la chuo, karibu na klabu ya udasa. Nilipopata upenyo nilitimua mbio mpaka kule shule ya msingi ndo ilikuwa pona yangu. Maeneo ya Chuo si salama wandugu hasa kukiwa na giza. Mazoezi yanaweza kukutokea puani.
MmhKuna pisi?
Bali kinaondoka kwa njia gan?Kitambi hakijawai ondolewa na mazoezi
Ha ha ha pole Sana nduguAisee nimeamua kupigia home kwangu tu (uwani). Maana nilikutana na vibaka watano na mapanga wakanitaiti kwenye pori (la akiba) la chuo, karibu na klabu ya udasa. Nilipopata upenyo nilitimua mbio mpaka kule shule ya msingi ndo ilikuwa pona yangu. Maeneo ya Chuo si salama wandugu hasa kukiwa na giza. Mazoezi yanaweza kukutokea puani.
Bali kinaondoka kwa njia gan?
Michepuko SI ndio inaleta kitambi?Madeni na michepuko