Kata K kwa vijana wetu...

Kata K kwa vijana wetu...

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
27,769
Reaction score
6,585
huyu kamera lilimkuta maeneo ya mujini bongo...
 

Attachments

  • kata K.jpg
    kata K.jpg
    119.4 KB · Views: 783
ndivyo walivyo watoto wa mujini..
 
Kama ni huyu mbona hata church anazama!!?? Hujawahi kuona kata K za ukweli!!!! mbaya zaidi chupi zinakuwa na rangi tifauti na ya dukani..............kuiga mambo usiyoyajua..wenzetu kata K ilikuwa nitangazo la kampuni fulani kupitia chupi husika a hasa mastaa wanalipa pesa nyingi tu kufanya hivyo...inanikumbusha pia stroy ya mpasuo kwamba ni dada ambayesketi yake baada ya kushonwa haikumtosha maeneo ya maungio hivyo akaomba ikatwe kidogo (mpasuo) ili kitambaa hicho kiungwe na kumtosha kiunoni .......baadaye imekuwa ni fasheni.......
 
mi naona kavaa kiheshima. wenzake wanavaa kata K kuanzia suruali hadi chupi. Mia
 
hawa hawajui wanalolifanya...! jamaa mmoja magomeni nusura aliwe kiboga na mabaharia wakigiriki kwa kutokujua ni position ipi ya sikio anatakiwa kuvaa heleni...!
 
Hivi huyu jamaa anahabari kuwa ulimpiga picha!!?mbona kama vile hajui chochot e na yuko na mishemishe zake!!!!watch out
 
Kachoka na kivuko cha kigamboni anaelekea chuoni IFM hapo karibu na jengo la utumishi kivukoni,maisha magumu mpaka kwenye nguo zao! e na yuko na mishemishe zake!!!!watch out[/QUOTE]
 
Sipendi tabia ya vijana wa kiume kuacha chuoi nje nje. Tusaidie kuwashauri vijana wetu.
 
Wanasema wanakwenda na wakati kumbe wanapotea na wakati.
 
Mmeshndwa kuwapatia vazi la taif wacha vijana wajivalie..kila ktu tumeiga,kama vpi 2rudi zama zle kwa wanawake kuacha maziwa nje na kufunika nyeti kwa majani,
 
Hivi hizo suruali huwa wanazibana na nini mpaka haziporomoki?
 
Aaah! Kila mtu na Maisha yake! Mind yo own damn business.
 
Back
Top Bottom