Kaswende na kisonono vyashambulia kwa kasi mashoga uingereza

Aug 23, 2015
89
43
Magonjwa ya zinaa yameanza kuenea kwa kasi sana nchini Uingereza. Utafiti umebaini kuwa Maradhi ya Kaswende na Kisonono yamenea kwa kasi kubwa nchini humo katika kipindi cha miaka 3. Idadi ya visa vya maambukizi ya Kaswende vilikuwa kwa kati ya asilimia 76%, kutoka kwa visa 3001 hadi visa 5,288 kuanzia mwaka wa 2012 hadi mwaka wa 2015.

Kwa upande mwengine visa vya maambukizi ya kisonono vilikuwa kwa kasi kubwa ya asilimia 53%, kutoka visa 26,880 vya maambukizi hadi visa 41,193 . Cha kustaajabisha ni kuwa visa hivyo vya maambukizi ya magonjwa ya zinaa vinapatikana sana miongoni mwa wanaume wanaoshiriki mapenzi na wanaume wenza. Chlamydia ilitajwa kuwa moja ya maradhi yaliyopimwa zaidi katika wakati huo wa utafiti.

Watu walioambukizwa ugonjwa huo walikaribia nusu ya wale wote waliowahi kupimwa magonjwa ya zinaa,hii ni takriban 434,456 mwaka wa 2015. Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako
 
Acha tu yawashambulie. Ushogga umelaaniwa lakini wao wanakazania kufanya.
 
Back
Top Bottom