Lukumbisi
Senior Member
- Jan 28, 2022
- 110
- 188
Hata Staphylococci pia wnweza kuwasababishia UTI hasa wadada wanaoosha tupu zao kwa sabuni zenye kemikali ili ukondoa harufu ukeni hali inayopelekea kuua bacteria walinzi(Normal flora) hivo hupatwa na hilo jambo kila wakati wadada acheni Douch...mtapata kansa.Ila wadada wengi wanaumwa chlamydia wanasema UTI suguUTI haiambukizwi kwa njia ya sex jamani. Ecoli bacteria can not live in vigina ni urinary track.
Madr wote wanaojielewa wanajua hii kuwa mtu anaumwa ugonjwa wa zinaa wanamwambia UTI sugu

