kasuku noma.......

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
jamaa muuza kasuku akawa anamuelezea kasuku wake lugha anazo ongea!

muuzaji: uyu kasuku akinyanyua mguu wakushoto anaongea English , akinyanyua mguu wa kulia anaongea kichina.

mnunuzi akauliza: je akinyanyua miguu yote?

kasuku akadakia: acha useng** nikinyanyua yote si ntaanguka sasa!
 
Du! Hapo manake ukinyanyua miguu yote anongea kiswahili!! Kazi kweli kweli.
 
au inamaana akinyanyua miguu yote zeni tusi yaja?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…